wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,530
- Thread starter
- #41
Ana shingo fulani imekatika pale katika yeye na mama salma na umy mwalimu kusema ukweli kutoka moyoni shingo zao nazipendaga sana sijui kwa nini.. na sio hao tuu yaani mwanamke yeyote mwenye shigo ya kihivyo huwa nampenda sana sijui kwa niniMke wa JWe vipi??