hapana mkuu yule tu jamaa ana roho ngum, wasukuma wanajua jamaniWatu wa pwani wanajua kupetipeti sio sawa na watu wa kanda ya ziwa
Wote unaowajua wanaotokea kanda ya pwani hadi mm mwenyewe niko vizuri kwenye kummbembeleza wifi yakoHuko wako wengi wee unamaanisha yupi mkuu
eti wifi yako, mkuu unamaanisha mtoa post ni mwanamke?Wote unaowajua wanaotokea kanda ya pwani hadi mm mwenyewe niko vizuri kwenye kummbembeleza wifi yako
Acha uchonganishi kijanaeti wifi yako, mkuu unamaanisha mtoa post ni mwanamke?
Hiyo itakua jiwe juu ya jiweVipi weka na ile picha watu waliyomuona nyerere kwenye mti na hadi kufikia 2020 watu watamuona magufuli kwenye jiwe