PICHA: Tukio la watu kunasana wakizini

PICHA: Tukio la watu kunasana wakizini

mambo ya pwani hayo na haya na ya dar es salaam hebu tupeni undani wa tukio hili nasikia mwanamke kafariki au ni mwanaume je ukweli uwapi au ni habari za kutunga tu maana wewe mtoa habari umesema tuangalie picha za watu kuumana na sisi tumeona polisi na wakusanyikaji wakiwa hospitali ya temeke labda walikuwa wanaangalia jambazi sugu limekamatwa tupe kitu cha ushaidi kama vile watu kule kenya walikanatana tulionyeshwa
 
mkuu hii longolomgo watu wamekosa cha kufanya... wanatafuta sababu ya kukusanyika waibe na ndivyo ilivyokuwa
we unaamini kuna kei iko kama solex??

labda huyo kidume alitoa manii kama super glue... kutokana na ukame
 
Upuuzi tu.
Leo nimekupa like yangu MKUU.
Yaani huu ni uwongo uliopikwa na kusambazwa mitaani.
Na kwa 7bu watu hawana ajira wakatoka kuangalia
sinema ambayo haipo.

Maana mtoa taarifa kuna taarifa muhimu hajaziweka
kuonesha uwongo wake kama vile majina ya watuhumiwa,
umri wao, mahali (maeneo--mitaa) wanapotoka,
jina la nyumba ya kulala wageni walipofumaniwa,
mazingira waliyofumaniwa, majina ya wahudumu
katika hiyo nyumba, hata ushahidi tu kutoka kwa
majirani wao. Nao hakuna huu ni upuuzi na uzushi
mpaka ushahidi kamili utakapotolewa vinginevyo
this is anothe r rubbish at the door.
 
Kweli kukosa ajira ni janga la taifa!!!
Huu umati uliofurika hapo hospitali kwa muda huo ina maana hawakuwa na shughuli?
Siamin kabisa iwapo tukio kama hili lingetokea mtaan kwako ungekosa kuwa miongon mwa watu hawa!
 
Kweli kukosa ajira ni janga la taifa!!!
Huu umati uliofurika hapo hospitali kwa muda huo ina maana hawakuwa na shughuli?
Siamin kabisa iwapo tukio kama hili lingetokea mtaan kwako ungekosa kuwa miongon mwa watu hawa!


...Shuhudia sasa wakitoka hapo jinsi watakavyokwenda kusambaza Uongo mitaani kila mtu akidai kushuhudia mwenyewe kwa macho wakati hakuona Chochote!
Ukijumlisha na Uongo wa Mwanzisha Thread anayetutaka tuone Picha za 'watu kunasana wakizini' wakati hakuna chochote zaidi ya Picha za wasiokuwa na kazi, Uongo wa Tukio hili unakuwa umekamilika! Subiri pia Uone Magazeti ya Udaku yatakavyouza Kesho!!!
 
Jana ilikua siku ya kunasana na kugandana tanzania,na maadhimisho yake kitaifa yalifanyika temeke dar es salaam,kauli mbiu ikiwa 'mke wa mtu ni sumaku,hivyo gusa unase' ...
 
1. Yaani hao watu hawakuwa na shughuli ya kufanya hadi kujazana hivyo?

2. Kulikoni polisi kuja mabomu kutawanya watu wasiofanya fujo as if ni tukio hatarishi? kweli TZ imegeuka iraq, kikitokea kitu usiende kushangaa unaweza lipuliwa kama marehemu Mwangosi.
 
wabongo bwana, tunapenda sana masimulizi ya kijinga na yasiyo na tija kwa maendeleo yetu

Kama wewe haupendi mbona umefungua hii thread na mpaka umetoa comment baada ya kupata simulizi?!!!
 
Back
Top Bottom