PICHA: Tukio la watu kunasana wakizini

PICHA: Tukio la watu kunasana wakizini

Hii ndio ripoti ya mwandishi Salehe Masoud wa Clouds tv kuhusu taarifa ya miili ya watu kung'ang'ania wakiwa gest house baada ya kufumaniwa, yani ni mwanaume aliekutwa na mke wa mtu ambapo Masoud ambae yuko kwenye hospitali ya Temeke ambako watu hao wanadaiwa kupelekwa ameripoti kwamba baadhi ya mashuhuda wanasema watu hao wamefikishwa hospitali wakiwa wamegandana na waliteremshwa kwenye gari wakiwa hivyohivyo ingawa uongozi wa hospitali umekanusha na tayari umeshatoa tamko kwa mamia ya watu waliokusanyika kwamba sio la kweli, hakuna ukweli wa hizo taarifa.
Baada ya watu kuzidi kuwa wengi na kila mmoja akitaka kuona hao waliogandana, polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya mamia ya watu waliofika kushuhudia ambapo inasemekana wawili hao wamehifadhiwa nyuma ya Mochwari.
Hao watu inasemekana walikutwa wakifanya mapenzi kwenye nyumba moja ya wageni huko Temeke ambapo pamoja na uongozi wa hospitali kukanusha, inasemekana ukweli umefichwa kwa sababu ni tendo la aibu na waandishi wa habari wameshajaa tayari.


Bofya hapa kusikiliza

​
ila wabongo nao kwa ushabiki!sasa huu umati wote uliokusanyika hapa eti umeenda kushabikia tu halafu hawa washabiki wenyewe sijui kama ni wasafi kweli! maana kama nao ndio wale wale watakuwa wanapenda kumshabikia mwenzio leo kesho wao kwa sababu haka ka fashion ka kugandana sasa kanaonekana katakuwa endelevu.
 
Yani kwa matukio kama tuna kila sababu ya kuwa MASKINI, hongereni sana watz wenzangu, wakati napata taarifa ya hawa jamaa kunasana the same time nikapata taarifa ya progress za windows 8,,same PLANET different WORLDS..
 
Hawa vijana kweli wamekosa kazi mijini, na hivi haya mabomu yamekuwa ni kama karanga, kila kukitokea jambo wanapeleka mabomu ya kutawanya!.
 
Eeeeh, ukisikia mke wa mtu ni sumu, basi sumu yenyewe ndiyo hiyo. Ila Bujibuji umeniudhi leoooooooooo!! mbona picha yenywe uliyoweka ni kama wale videvu wapo kwenye maandamano?
 
kazi kweli kweli

jamani WATANZANIA hebu tubadilikeni tuche kuzusha vitu ambavyo havipo 1..ahaowatu majinayao akinanani??2Wanaishi wapi??3walikutwa Gest kani??4Mwenye Gest yukowapoi??5DR. anao waudumia ninani na anasemje??6KAMANDA KOVA anasemaje...???7.Hao wahathilika hawana Family wala Majirani??ni maswali mengi kwamtu mwene akili akujiuliza hakuna Majibu bali ni UZUSHI.2 wa DAR.....MJINI SHULE....
 
Ingependeza sana kama tungeona picha za hao wawili walionatana. Kichwa cha hii habari hakiendani na picha zilizowekwa humu ndani. Lakini nimewahi kusikia kuna mitego ya kishirikina inayowekwa na mwanaume kwa mkewe kama anahisi mkewe anatembea nje ya ndoa. Ushirikina huu upo, hivyo habari hii inaweza kuwa na ukweli fulani.
 
kwa wenye mashaka kuwa ni uzushi ni vizuri kujiuliza kama walifumaniwa kwanini wapelekwe hospitali na si polisi? je haileti taswira kuwa kuna walakini au hali isiyo ya kawaida kwa jinsi walivyokutwa kwenye fumanizi hilo!?
 
Nikishuhudia imani kama hizi za kishirikina napatwa na wasiwasi hata kwa mageuzi ya kisiasa, imagine una watu wa aina hii utashangaa kusikia magamba wanapata ushindi wa kishindo 2015?
 
Ni asili yetu mkuu, tatizo ni kutokuutumia kwa manufaa ya wengi. Technolojia ya ushirikina tunayo sana lakini tumeshindwa kabisa kuwaibia wamarekani, wachina nk kwa ajili ya kutunisha mifuko ya watu wetu.[/QUOTE

Ukiona tunashindwa, jua wao wanatumia uchawi wa juu zaidi aka free masons.
 
Kawekewa PIN

wa DANGANYIKA kujiongopea ni kawaida yetu mwaka 1987 tuliisha Jiongopea yakua kuna mtu alienda kuoga maji kwa Choo.then AKAGEUKA NYIKA 'na watu walijazana pale BUGURUNI POLICE ujinga ulikua ivyoivyo hakuna tofauti ivyo KAMANDA WETU KWA TUKIO KAMA LILE KWALI ASINGE TOA KWA .TV.YEYOTE??aaaaa!!!!!Haiwezekani ni upuuzi usio enda SHULE huo mwenye SHULE hawezi kua mjingakwenye hayo yakitoto tulisha ongopewa babu wa KIKOMBE matokeo wengi walienda na wengi walikufa
 
Back
Top Bottom