Picha:the real definition of true love

Picha:the real definition of true love

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
dah ukipata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kiasi hiki hakika umepata jembe kwa dunia ya sasa hivi!!!
true love.jpg
 
Mmmmh! Wamependeza kweli!
Afu inavyoelea jamaa anamihela, mrefu, vilevile kukwanguka kwake sio natural, pia inawezeka jamaa anasugua kisahani ile mbaya!
Ebbos kwani lazima mutoke public!

dah ukipata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kiasi hiki hakika umepata jembe kwa dunia ya sasa hivi!!!
View attachment 109051
 
yaani picha ndio inakufanya oune true love? Utajuaje kuwa huyo jamaa ni milionea?
milionea ndio anawekewa nyuzi za kimasikini namnaa hiyo na hicho cha kushikiza mkono ndi usiseme hakipo hata comfortable more than that kinaumiza mkono!!!
 
Huyo jamaa lazima atakua tu ana fedha kibao sio bure

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mndengereko Kwenye suala la ndoa, si criteria moja tu ya muonekano ambayo huangaliwa, kuna criteria nyinginezo nyingi tu ambazo humfanya mtu avutike na kuingia kwenye mahusiano ya kindoa na mtu! wakati Fulani anaangalia sura, mwingine anaweza kuangalia kitu tofauti kabisa kwenye mahusiano. Kuna vitu kama tabia njema, usheshi, ukarimu, pesa, umbile, uwezo na compatibility ya 6X6, nk nk vinaweza kuwa sababu mojawapo ya mtu kukubali kufunga ndoa na mwingine!
 
kwa wakongwe wa jf nadhni hii picha tunaikumbuka.
 
jamaa mwenyewe kapata ajali tu, tena inaonekana ya bodaboda wala si kilema hicho.
 
Back
Top Bottom