Picha:the real definition of true love

Picha:the real definition of true love

Huyo jamaa si ndiyo yule aliyegongwa na gari akiwa kwenye boda boda akihangaikia maandalizi ya harusi siku moja kabla ya harusi yao. Kwa hali yoyote ile asingeweza kumuacha kwani jamaa alipata msukosuko huo akimuhangaikia demu huyo huyo.
 
Ha ha ha, concept ya true love ni ya kufikirika tu.

Hivi mtu anapata ajali siku 2 kabla ya harusi unamtema? Hata kama hakuna true love?
Unaweza amua kuolewa kwa kuhurmia michango ya watu tu.
 
Back
Top Bottom