Picha : Tembo mkubwa duniani!

Picha : Tembo mkubwa duniani!

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
25,975
Reaction score
25,288
....

hiyo ni Miombo woodland ....Tanzania tunatisha .... hapo cha mtoto Tarangire balaa !!!


elephant+on+safari.jpg
 
Mwenyezi Mungu katupa utajiri mkubwa sana kuna nchi zingine waliamua kupelekewa wanyama kama new Zealand hawakuwa hata na panzi jambo la kushkuru lakini watu hawana shukran
 
Una uhakika na usemalo? Naona unataka kupotosha umma..soon nakuja na evidence
 
tukija kwenye ishu ya kugegeda sijui itakuwaje........mmmmmmh
 
bado hawajafika miombo wale watu???....they are coming soon..
 
Nikiona,kusikia au kutafakari neema za nchi hii huwa naishiwa nguvu kabisa maana manyang'au na viongozi wasio na utu wamejimilikisha kila kona ya neema hizo,kwa namna moja au nyingine,inaumiza sana kwa kweli
 
Tuna nchi yenye rasilimali nyingi sana lakini kwa bahati mbaya tunachezeshwa kidali poo
 
Back
Top Bottom