Picha : Tembo mkubwa duniani!

Picha : Tembo mkubwa duniani!

Mwenyezi Mungu katupa utajiri mkubwa sana kuna nchi zingine waliamua kupelekewa wanyama kama new Zealand hawakuwa hata na panzi jambo la kushkuru lakini watu hawana shukran

Hawa wanyama kitambo hawakuwepo huku Watu wa mabara mengine waliwaleta huku Africa bara la Giza kwani kwao ilikuwa ni ghasia na huwa wanakuja kuwatembelea mara kwa mara... Ni Tabu tu hawa wao walibakia na Wanyama wapole tu na wakali baadhi... Chezea watu wa kale wewe
 
....

hiyo ni Miombo woodland ....Tanzania tunatisha .... hapo cha mtoto Tarangire balaa !!!


elephant+on+safari.jpg
Yasemekana Tembo wa India ndio Wakubwa sana

2306741169_8d2eefeaeb.jpg

Huyu ndie aliyeshika record ya Ukubwa kwa Tembo wote Mwaka 1956 huko Angola alikuwa na kilo 12,000 na urefu kufikia bega lake alikuwa na futi 12 mita 4.2
 
dah kaka umekosea kweli aisee kutoa taarifa maana w/maliasili lazima akamnyofoe pembe zake , hana uhai mref huyo na anaweza pia akawa ameshakufa kitambo.......
 
Back
Top Bottom