Picha tatu kali Za Malikia Elizabeth zilizonibamba

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Queen Elizabeth Ajiweka Vyema Kujiepusha Corona Nimependa Ubunifu wake Katika Mavazi Na Masked zake
255712762588_status_1b5f50d91fe24e1fa2fe81c7aa6e2d42.jpeg
255712762588_status_98ce264c4b8947fcb554441b8c56b2bf.jpeg
255712762588_status_ca2f717df14b40eeb4f05fb86891e5ea.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamejitahid lakini kwa kiwango chake.

Ila nadhani bibi anakofichwa sahizi yaani pako salama kias cha kutohitaji hizo Barakoa. Let alone kupigwa pichaView attachment 1395317View attachment 1395318

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Niko huku na sijaona kabisa hizi habari
Kwanza amejichimbia hapa Jirani yangu Windsor castle na mme wake leo ndio kaletwa na helicopter kupumzika nae
Sikupenda kubishana na mleta mada sana ila sisi wenyewe huku hatutoki tena bila sababu
Hali ni ngumu sana
Kwanza mimi mwenyewe naziogopa hizo mask


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom