Picha: Tanzania kuna vikundi vya waasi ambavyo vinatoa mafunzo ya kijeshi?

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,412
Hii picha leo imekuwa maarufu sana huko Twitter ikidaiwa kuwa imepigwa Tanzania.

Haya mambo nimezoea kuyaona katika vikundi vya INTERAHAMWE huko Rwanda na Congo.Sijazoea kuona mambo kama haya hapa Tanzania.Serikali ina taarifa na vikundi hivi?
 
hawa hawana haja na katiba mpya ndo maana waachwa wafanye wanayoona ni vyema.Ila ingekuwa ni kina fulani....
 
Tuache upimbi, hili lilijadiliwa tarehe 10/03/2015 hapa JF. Siyo leo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…