Picha Shimo Kubwa Posta Mpya Magari Yanatumbukia

Picha Shimo Kubwa Posta Mpya Magari Yanatumbukia

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,277
Reaction score
1,121
Kuna shimo kubwa sana posta mpya kama unatokea haidari plaza ni kubwa mno magari yanatumbukia na mvua hizi ndio imekuwa balaa sijui ni jukumu la nani duh.

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • kosta.jpg
    kosta.jpg
    17.6 KB · Views: 1,520
  • cruiser.jpg
    cruiser.jpg
    27.3 KB · Views: 1,524
  • kruza.jpg
    kruza.jpg
    33 KB · Views: 1,500
  • salun.jpg
    salun.jpg
    26.1 KB · Views: 1,479
Ukiona hivyo ujue fedha wanazungushia biashara zao binafsi kwanza kabla ya kuzirudisha ktk mradi huo
 
kuna shimo kubwa sana posta mpya kama unatokea haidari plaza ni kubwa mno magari yanatumbukia na mvua hizi ndio imekuwa balaa sijui ni jukumu la nani duh

city center maji yamejaa barabaran kama mto dumila.......kila siku huwa namuomba mungu mvua isije ikanikuta aidha posta au kariakoo
 
city center maji yamejaa barabaran kama mto dumila.......kila siku huwa namuomba mungu mvua isije ikanikuta aidha posta au kariakoo
Jamaa wanazibua vyoo kama uswahilini,yan ukikanyaga yale maji umekanyaga kitu cha choo..
 
Aibu tupu,halafu eti Jiji,
Na juzi nasikia eti wameenda kudanganya watu huko na wameambiwa kwamba Dar linaingziwa katika majiji makubwa Africa .

Wakati hadi leo hakuna Fire lenye uwezo wa kuzima maji kwenye Jengo lolote refu hapo Dar.

Hayo mashimo na chambers kubuma kwa Mjini ni jambo la kawaida sana tu.Wanasubiria waziri aweke Budget.
We si umeona mpaka leo lile ghorofa bado linasikilizia soo kwanza,kisha wapandishe tena,na lile Jengo la Tigo lililodata wamepotezea wanajua watu akili zao zipo kwenye katiba,na muda mfupi uchaguzi.
 
tusali kwa bidii kumuomba mungu atusaidie kuyaziba hayo mashimo na kurekebisha hiyo mitaro
 
Nataman kusema ila naogopa isipokua nch yangu imenichosha...... but I lov TZ
 
Hilo shimo lina mwaka sasa, si ni hapo karibia na Gas Station ya Oryx kama unatokea Haidery Plaza?
 
Hilo shimo lina mwaka sasa, si ni hapo karibia na Gas Station ya Oryx hama unatokea Haidery Plaza?

Hapo hapo ndugu ila limeongezeka si unaona kwenye picha mpaka cruiser limeshindwa kutoka
 
"ilo ni eneo korofisana,bado linafanyiwa upembuzi yakinifu na mkandarasi" utashangaa politician mmoja kutoka wilaya ya chato anazungumza hivyo
 
short cut hiyo misafara ya wakubwa huwa hawapiti. Ndio maana!
 
WaTz hatuna tabia ya kudai fidia. Siku moja gari likitumbukia na mtu akaenda mahakamani na wakamkuta hakimu mstaarabu na anaejua sheria. Basi gg watalipa fidia kubwa na hayo mashimo yote yatazibwa siku hiyo.
 
Back
Top Bottom