Picha Shimo Kubwa Posta Mpya Magari Yanatumbukia

Picha Shimo Kubwa Posta Mpya Magari Yanatumbukia

Wakuu
FURSA hizo ngoja nichukue neti ndoana na mtumbwi wangu nije kuvua samaki hapo hizo ni neema za mungu
 
Afu wabunge wanadai lak3 ndogo,...em waloshikilia chenji ya Ile lak 4 ya CA wafanye mambo hapo,wote tupate jmn,sio dodoma tu
 
WaTz hatuna tabia ya kudai fidia. Siku moja gari likitumbukia na mtu akaenda mahakamani na wakamkuta hakimu mstaarabu na anaejua sheria. Basi gg watalipa fidia kubwa na hayo mashimo yote yatazibwa siku hiyo.

.....kweli kabisa.....watu wengi hili jambo hatulifahamu.......nawashauri watu wanaopata kadhia kama hiyo....ni kuwaandikia wahusikakupitia wakili wako ili waku-compensate.......hakikisha una ushahidi wa kutosha wa kadhia iliyokukuta barabarani.......
 
Back
Top Bottom