Picha: Sekretarieti mpya ya ccm

Picha: Sekretarieti mpya ya ccm

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
​

Abdulrahman Kinana-Katibu Mkuu wa CCM, Taifa
​

Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu (Bara)
​
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
​
Nape Nnauye-Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi
​
Asha-Rose Migiro- Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
​
Zakia Meghji-Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha
​
Muhamed Seif Khatib, Katibu wa NEC, Oganaizesheni😛icha zote na Bashir Nkoromo)
 
Chama cha maveterani,watoto wa vigogo na Watema cheche za matusi..hakuna mpya hapo Wote WACHUMIA TUMBO.
 
Timu makini ya ushindi piga ua hiyo ndiyo kiboko ya M4C

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Timu makini ya ushindi piga ua hiyo ndiyo kiboko ya M4C

Chama
Gongo la mboto DSM

Nilidhani mnatangeneza timu itakayokua kiboko ya umaskini wa mtanzania, matatizo ya maji kwa mtanzania, ajira, ubaguzi na maswala nyeti kwa mtanzania ila kumbe nyie mnatengeneza timu za kupambana na chadema??
Aisee ccm is too low.
CCM ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kiboko ya njia kupita kwa speed kali. 2015 hakuna kuachia mafuta
 
​

Abdulrahman Kinana-Katibu Mkuu wa CCM, Taifa
​

Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu (Bara)
​
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
​
Nape Nnauye-Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi
​
Asha-Rose Migiro- Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
​
Zakia Meghji-Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha
​
Muhamed Seif Khatib, Katibu wa NEC, Oganaizesheni😛icha zote na Bashir Nkoromo)

Wakristo wawili tu?
 
CHADEMA imeendelea kuwanyima usingizi ccm! Hofu na mashaka vya tanda ndani ya ccm!
 
Hii sekretariet inabidi ifanye kazi ya ziada kuhimili dhoruba ya M4C, vinginevyo 2015 watakuwa kama UNIP au KANU.
 
Huyo Nape mbona yupo kama amefiwa vile au ndo anamtamani mama mkweeee nini??????
 
Kilichotokea kwenye uchaguzi huu na uteuzi huu wa CCM ni sawa na kuongeza mwaka mmoja wa kusubiri wapinzani kutwaa dola
Namaanisha kama wapinzani walikua wachukue uchaguzi ujao basi wasubiri baada ya ujao

Wenye akili timamu wataelewa naongea nini
 
Mafisi na mafisadi watupu. Inatia kichefuchefu sana. God help us to thwart these monsters.
 
Sijaona hapo kiongozi wakuweza hata kupambana kwa hoja na mtu kama zito! Naona wengi wamepitwa na wakati nawengine ni wezi na mafisadi papa!
 
Du huo mdomo wa kinana!! Mbona haufanani na wengine!
 
Nilidhani mnatangeneza timu itakayokua kiboko ya umaskini wa mtanzania, matatizo ya maji kwa mtanzania, ajira, ubaguzi na maswala nyeti kwa mtanzania ila kumbe nyie mnatengeneza timu za kupambana na chadema??
Aisee ccm is too low.
CCM ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Chadema ni sawa shoga aliyejitengeneza uchi wa kike hamjijui mpo kundi gani!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hiki chama kweli kina wenyewe, hapo ndio wamebadili safu ya uongozi? na wasio na haya wanatokeza hadharani na kujisifu kuwa wamefanya kazi kubwa DODOMA, binafsi sijaona kilichofanywa ZAKIA,KINANA, SEIF,MIGIRO hawa watu wameshatumika sana kwa Taifa na Chama wanahitaji kupumzika sio kuanza kujibizana nakina Mnyika, Mdee,Msigwa na makamanda wengine wa CDM, siasa za 1995 sio hizi za leo............labda kama mheshimiwa kaamua kuwapa ulaji katika dakika hizi za lala salama.

NGOJA TUONE.
 
Back
Top Bottom