Nakubaliana kabisa na mawazo yako.Hiki chama kweli kina wenyewe, hapo ndio wamebadili safu ya uongozi? na wasio na haya wanatokeza hadharani na kujisifu kuwa wamefanya kazi kubwa DODOMA, binafsi sijaona kilichofanywa ZAKIA,KINANA, SEIF,MIGIRO hawa watu wameshatumika sana kwa Taifa na Chama wanahitaji kupumzika sio kuanza kujibizana nakina Mnyika, Mdee,Msigwa na makamanda wengine wa CDM, siasa za 1995 sio hizi za leo............labda kama mheshimiwa kaamua kuwapa ulaji katika dakika hizi za lala salama.
NGOJA TUONE.
Kesho wewe utakuwa wa kwanza kusema CDM chama cha kanisa!Then what?Ukristo unasaidia nini?achi kufikiri kidinidini. Mbona ukienda hospitalini mbona huulizi utibiwe na DAKTARI WA DINI YAKO? Nawachukia watu wanaofikiri kidinidini.
hiki chama kweli kina wenyewe, hapo ndio wamebadili safu ya uongozi? Na wasio na haya wanatokeza hadharani na kujisifu kuwa wamefanya kazi kubwa dodoma, binafsi sijaona kilichofanywa zakia,kinana, seif,migiro hawa watu wameshatumika sana kwa taifa na chama wanahitaji kupumzika sio kuanza kujibizana nakina mnyika, mdee,msigwa na makamanda wengine wa cdm, siasa za 1995 sio hizi za leo............labda kama mheshimiwa kaamua kuwapa ulaji katika dakika hizi za lala salama.
Ngoja tuone.