sebule ya kibongo lazima iwe na vinyago, picha, mataji ya maua, ndoo ya maji, baiskeli, au pikipiki, vitenge vilivyotundikwa ukutani, ramani ya afrika, picha ya rais, bendera ya chama, tairi za gari n.k. mengine nisaidie kujaza
umesahau makonokono ...chungu chanye makokoto na vibakuli vyenye mchanga kwa ajili ya kuzimia bange