GE2025 PICHA: Ridhiwan Kikwete Apokelewa Kifalme na Wajumbe Jimboni Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,354
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kuwa karibu na wananchi na kuwaletea maendeleo Makubwa katika miaka yake ya Ubunge.

Amepokelewa Kifalme kwa mapokezi Mazito kwelikweli ya Nyota tano na wajumbe mbalimbali katika kata za Ubena ,Msoga na zingine mbili. Katika kuzungumza na wajumbe hao wa mkutano mkuu wa jimbo la Chalinze. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amesema ya kuwa wao ndio msingi wa ushindi wa CCM. ambapo wanapaswa kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu wazuri na wanaofaa na kukubalika kwa jamii na wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo.

Lakini pia Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amesema ya kuwa wajumbe wana wajibu wa kuyasema na kuyazungumzia mambo yote makubwa yaliyofanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambayo ameyafanya katika jimbo lao yaliyogusa secta zote kuanzia Miundombinu ya Barabara,umeme,maji,afya , Elimu n.k.

Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni miongoni Mwa wabunge watatu pekee waliopitishwa na kamati kuu kama wagombea pekee katika Majimbo yao. Ambapo wengine ni Mama Salma Kikwete Ambaye yeye wananchi na wapiga kura wake walishasema ya kuwa aongoze mpaka atakapochoka Mwenyewe. kwa kuwa wameridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kasi ya maendeleo ambayo imekuwa ikifanyika jimboni kwake.

Lakini Mwingine aliyepitishwa na kamati kuu ya CCM kama mgombea pekee na anayesubiria kuthibitishwa kwa kura za ndio za wajumbe siku ya kesho ni Mheshimiwa Mwalimu Dkt Dotto Biteko. Ambapo naye pia alikuwa Mwenyewe aliyechukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya kuwania Ubunge. Ambapo naye kutokana na uchapakazi wake ameweza kupewa nafasi ya kuendelea kuliongoza jimbo lake na Taifa letu kwa ujumla wake ikiwa ataaminiwa na Mheshimiwa Rais kuteuliwa katika nafasi ya Uwaziri.

Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amekuwa ni kiongozi mwenye msaada na kujitolea kwa watu bila kikomo wala kuchoka. ni kiongozi aliyesaidia wengi na Kugusa Maisha ya wengi, ameinua na kuvusha wengi kupitia mikono yake ,amewapa wengi tabasamu ,furaha na matumaini kupitia mikono yake na moyo wake wa huruma ,ukarimu na upendo.

Amebadilisha maisha ya wengi ,amekuwa mnyenyekevu kwa watu . Ambapo licha ya Ukubwa wa cheo chake kama waziri lakini ni kiongozi ambaye amekuwa akijishusha na kujinyenyekeza kwa watu na hivyo kuwa kiongozi anayefikika kwa urahisi na wepesi zaidi kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo.

Ndio sababu Leo hii amepewa heshima ya kupitishwa kama mgombea pekee baada ya wengine kutokujitokeza kuchukua Fomu. Kwa sababu wanaona katimiza ndoto za wengi na kuwezesha wengi kuinuka na amefanya yale ambayo kila mmoja angetamani yafanyike .

Amekuwa ni mtu anayeshinda na kukaa na wapiga kura wake na kuwasikiliza kwa unyenyekevu kila awapo jimboni kwake. Pasipo majivuno au kiburi au dharau . Ni kawaida kabisa kumkuta Mheshimiwa Ridhiwan akiwa ameketi chini kabisa akiwa anazungumza na wazee au vijana au akina Mama kwa unyenyekevu ,upole na Usikivu wa hali ya juu sana. Ndio maana watu hupenda kumwita Mtu wa watu.
Screenshot_20250803-181337_1.jpg
Screenshot_20250803-180835_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kuwa karibu na wananchi na kuwaletea maendeleo Makubwa katika miaka yake ya Ubunge.

Amepokelewa Kifalme kwa mapokezi Mazito kwelikweli ya Nyota tano na wajumbe mbalimbali katika kata za Ubena ,Msoga na zingine mbili. Katika kuzungumza na wajumbe hao wa mkutano mkuu wa jimbo la Chalinze. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amesema ya kuwa wao ndio msingi wa ushindi wa CCM. ambapo wanapaswa kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu wazuri na wanaofaa na kukubalika kwa jamii na wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo.

Lakini pia Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amesema ya kuwa wajumbe wana wajibu wa kuyasema na kuyazungumzia mambo yote makubwa yaliyofanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambayo ameyafanya katika jimbo lao yaliyogusa secta zote kuanzia Miundombinu ya Barabara,umeme,maji,afya , Elimu n.k.

Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni miongoni Mwa wabunge watatu pekee waliopitishwa na kamati kuu kama wagombea pekee katika Majimbo yao. Ambapo wengine ni Mama Salma Kikwete Ambaye yeye wananchi na wapiga kura wake walishasema ya kuwa aongoze mpaka atakapochoka Mwenyewe. kwa kuwa wameridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kasi ya maendeleo ambayo imekuwa ikifanyika jimboni kwake.

Lakini Mwingine aliyepitishwa na kamati kuu ya CCM kama mgombea pekee na anayesubiria kuthibitishwa kwa kura za ndio za wajumbe siku ya kesho ni Mheshimiwa Mwalimu Dkt Dotto Biteko. Ambapo naye pia alikuwa Mwenyewe aliyechukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya kuwania Ubunge. Ambapo naye kutokana na uchapakazi wake ameweza kupewa nafasi ya kuendelea kuliongoza jimbo lake na Taifa letu kwa ujumla wake ikiwa ataaminiwa na Mheshimiwa Rais kuteuliwa katika nafasi ya Uwaziri.

Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amekuwa ni kiongozi mwenye msaada na kujitolea kwa watu bila kikomo wala kuchoka. ni kiongozi aliyesaidia wengi na Kugusa Maisha ya wengi, ameinua na kuvusha wengi kupitia mikono yake ,amewapa wengi tabasamu ,furaha na matumaini kupitia mikono yake na moyo wake wa huruma ,ukarimu na upendo.

Amebadilisha maisha ya wengi ,amekuwa mnyenyekevu kwa watu . Ambapo licha ya Ukubwa wa cheo chake kama waziri lakini ni kiongozi ambaye amekuwa akijishusha na kujinyenyekeza kwa watu na hivyo kuwa kiongozi anayefikika kwa urahisi na wepesi zaidi kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo.

Ndio sababu Leo hii amepewa heshima ya kupitishwa kama mgombea pekee baada ya wengine kutokujitokeza kuchukua Fomu. Kwa sababu wanaona katimiza ndoto za wengi na kuwezesha wengi kuinuka na amefanya yale ambayo kila mmoja angetamani yafanyike .

Amekuwa ni mtu anayeshinda na kukaa na wapiga kura wake na kuwasikiliza kwa unyenyekevu kila awapo jimboni kwake. Pasipo majivuno au kiburi au dharau . Ni kawaida kabisa kumkuta Mheshimiwa Ridhiwan akiwa ameketi chini kabisa akiwa anazungumza na wazee au vijana au akina Mama kwa unyenyekevu ,upole na Usikivu wa hali ya juu sana. Ndio maana watu hupenda kumwita Mtu wa watu.View attachment 3429905View attachment 3429906

Huyu dogo anaamini kabisa kuwa nchi ni mali ya baba yake, anaamini kuwa huu ufalme aliojimilikisha baba yake ni suala la muda tu atarithishwa. He is very dull na hana ufahamu na dynamics za siasa kwamba anaweza hata akajikuta ukimbizini. Kikubwa hana charisma yaani hata wambebe vipi habebeki, chawa wake wa zamani Bashite amemfunika kwa influence ndani ya CCM mpaka ndani ya TISS.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kuwa karibu na wananchi na kuwaletea maendeleo Makubwa katika miaka yake ya Ubunge.

Amepokelewa Kifalme kwa mapokezi Mazito kwelikweli ya Nyota tano na wajumbe mbalimbali katika kata za Ubena ,Msoga na zingine mbili. Katika kuzungumza na wajumbe hao wa mkutano mkuu wa jimbo la Chalinze. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amesema ya kuwa wao ndio msingi wa ushindi wa CCM. ambapo wanapaswa kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua watu wazuri na wanaofaa na kukubalika kwa jamii na wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo.

Lakini pia Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amesema ya kuwa wajumbe wana wajibu wa kuyasema na kuyazungumzia mambo yote makubwa yaliyofanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambayo ameyafanya katika jimbo lao yaliyogusa secta zote kuanzia Miundombinu ya Barabara,umeme,maji,afya , Elimu n.k.

Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni miongoni Mwa wabunge watatu pekee waliopitishwa na kamati kuu kama wagombea pekee katika Majimbo yao. Ambapo wengine ni Mama Salma Kikwete Ambaye yeye wananchi na wapiga kura wake walishasema ya kuwa aongoze mpaka atakapochoka Mwenyewe. kwa kuwa wameridhishwa na uchapakazi wake pamoja na kasi ya maendeleo ambayo imekuwa ikifanyika jimboni kwake.

Lakini Mwingine aliyepitishwa na kamati kuu ya CCM kama mgombea pekee na anayesubiria kuthibitishwa kwa kura za ndio za wajumbe siku ya kesho ni Mheshimiwa Mwalimu Dkt Dotto Biteko. Ambapo naye pia alikuwa Mwenyewe aliyechukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya kuwania Ubunge. Ambapo naye kutokana na uchapakazi wake ameweza kupewa nafasi ya kuendelea kuliongoza jimbo lake na Taifa letu kwa ujumla wake ikiwa ataaminiwa na Mheshimiwa Rais kuteuliwa katika nafasi ya Uwaziri.

Ikumbukwe ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete amekuwa ni kiongozi mwenye msaada na kujitolea kwa watu bila kikomo wala kuchoka. ni kiongozi aliyesaidia wengi na Kugusa Maisha ya wengi, ameinua na kuvusha wengi kupitia mikono yake ,amewapa wengi tabasamu ,furaha na matumaini kupitia mikono yake na moyo wake wa huruma ,ukarimu na upendo.

Amebadilisha maisha ya wengi ,amekuwa mnyenyekevu kwa watu . Ambapo licha ya Ukubwa wa cheo chake kama waziri lakini ni kiongozi ambaye amekuwa akijishusha na kujinyenyekeza kwa watu na hivyo kuwa kiongozi anayefikika kwa urahisi na wepesi zaidi kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo.

Ndio sababu Leo hii amepewa heshima ya kupitishwa kama mgombea pekee baada ya wengine kutokujitokeza kuchukua Fomu. Kwa sababu wanaona katimiza ndoto za wengi na kuwezesha wengi kuinuka na amefanya yale ambayo kila mmoja angetamani yafanyike .

Amekuwa ni mtu anayeshinda na kukaa na wapiga kura wake na kuwasikiliza kwa unyenyekevu kila awapo jimboni kwake. Pasipo majivuno au kiburi au dharau . Ni kawaida kabisa kumkuta Mheshimiwa Ridhiwan akiwa ameketi chini kabisa akiwa anazungumza na wazee au vijana au akina Mama kwa unyenyekevu ,upole na Usikivu wa hali ya juu sana. Ndio maana watu hupenda kumwita Mtu wa watu.View attachment 3429905View attachment 3429906

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakuna wananchi wana maisha magumu kama chalinze yaani ni shida
 
Ungeweka namba ya Simu,Rizi akuone kwa chochote, huwezi toka patupu
 
Huyu dogo anaamini kabisa kuwa nchi ni mali ya baba, anaamini kuwa huu ufalme aliojimilikisha baba yake ni suala la muda tu atarithishwa. He is very dull na hana ufahamu na dynamics za siasa kwa anaweza hata akajikuta ukimbizini. Kikubwa hana charisma yaani hata wambebe vipi habebeki, chawa wake wa zamani Bashite amemfunika kwa influence ndani ya CCM mpaka ndani ya TISS.
Wivu tu ndio unaokusumbua
 
Back
Top Bottom