Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,348
- 23,757
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile
Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.
Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.