chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,948
Rais wa Ghana,Mhe. Nana Akufo-Addo (Kushoto) akiwakaribisha Ikulu,Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe (Katikati) na Kiongozi wa Chama cha FDC cha Uganda,Mhe. Kizza Besigye kwa ajili ya mazungumzo.
My take : HUU UMOJA NI TISHIO KWA NCHI ZISIZOFUATA DEMOKRASIA AFRIKA.
My take : HUU UMOJA NI TISHIO KWA NCHI ZISIZOFUATA DEMOKRASIA AFRIKA.