Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,930
- 4,407
Hillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.
Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...
Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..