Anayemjulia hali sasa... Anacheka tu!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Safi sana Jk Ndio uungwana umemliwaza mzee cheyo
Ulitaka anune?
ukitaka kula lazima uliweRaisi angekuwa na moyo huu huu katika kushughulikia matatizo mengine ya kitaifa....tungekuwa mbali sana!
Wewe mama hivi mmeo uwa unamhudumia na kunamtimizia haja zake saa ngapi..kutwa kucha uko JFUlitaka anune?