Na asivoipenda Mbeya, huenda yeye ndo kawastua wamalawi kulipa kisasi cha ku popolewa na mawe. Baada ya hapo tujiandae kupeleka mlima Kilimanjaro Kenya na ziwa victoria uganda na kenya.
JK akishindwa kutumia busara za kidiplomasia atumie plan B nadhani huyu mama sijui kama ana mume so akili kumkichwa huyu baba ni hodari kidogo kwa mambo hayo sura pia inachangia, sorry kwa ushauri wa kijinga anyway.
Kwa hesabu za haraka haraka, huyu mama bado anajipa moyo kuwa Ziwa lote ni la kwao! Wakishindwana katika ile kamati, ndo ngoma itakuwa inaanza kuchezwa sasa. Manake hapa ni kutulizana tu, subiri Wanyasa wakomae kuwa hata nusu ya ziwa hawatoi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.