PICHA: Rais J.Kikwete na Rais J.Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa Mpaka

Vita ilikuzwa na magazeti na wanasiasa wetu lakini vinginevyo hakuna vita hapo kila kitu kiko wazi. Ni vyema watu kuwa makini na hili suala kuliko kushabikia. Baadhi yetu tunataka kufanya mtaji huu.
 
Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vyote vya ULINZI na USALAMA, amesema HAKUNA VITA, HAWEZI KUMTWANGA DADA YAKE. FULL STOP! Hongera KAMANDA COL. DRT. KIKWETE. VITA si nzuri Kabisa. Wanasiasa (Wasuccession 2015) waache SIASA kwenye hii kitu.

Yeah, Na VIPI VITA ndani ya NCHI YA NCHI Anasurutishaje Kuongezeka kwa Kelele za kutoelewana kati ya WAISLAMU na WAKRISTO nchini Mwake?

Au Wenye MALI na WASIO na MALI nchini Mwake haoni Matabaka ya Walio nacho na Wasio Nacho inaongezeka kiasi inaweza ikaleta Madhara nchini... AU Jinsi

MALI na ARDHI za WANANCHI ZINAPOCHUKULIWA NA WAGENI na KUWAACHA BILA ARDHI? ...Unamuita KAMANDA COL. DRT???
 
8E9U0817.JPG

Kikwete kafungua koti kupunga upepo kidogo inaelekea mama kalegea kuachia sehemu ya ziwa libaki kwa watanzania.
 
8E9U0817.JPG

JB: Tuache utani Jakaya Travolta yako imetulia Jakaya. Nimemind sana. Sasa bro, ziwa si niachie tu?

JK: Mbona hata wewe na matenge kama ya Salma uko vizuri tu. Sema Salma Katalogue zaidi. Ziwa nikikuachia itakuwa noma. Mzimu wa Julius utanisumbua. Hili nalo namwachia Rais ajaye. Ni upepo tu.
 
Kimsingi hilo ndilo bila shaka walilokubaliana Marais hawa wawili - kupasi mpira kwa watakaokuja. Hayo mazungumzo ya Mzuzu na penginepo hayataleta kitu. Yalishaanza zamani sana bila mafanikio.
 
Jk umefanya vizuri kukutana na huyu mama. Hii safar hatutaingiza kwenye ile orodha yako ya safari. Tufanye umekwenda kwa gari. Ila huko kucheka kwako kunanitia mashaka kama tutapata kitu pale ziwani. Take care.
 
Hiyo picha ya pili mama anatizama kiatu anatabasamu,nadhani anajisemea "hii kiatu kweli ya vasco"
 
8E9U0817.JPG

JB: Tuache utani Jakaya Travolta yako imetulia Jakaya. Nimemind sana. Sasa bro, ziwa si niachie tu?

JK: Mbona hata wewe na matenge kama ya Salma uko vizuri tu. Sema Salma Katalogue zaidi. Ziwa nikikuachia itakuwa noma. Mzimu wa Julius utanisumbua. Hili nalo namwachia Rais ajaye. Ni upepo tu.
Hiyo travolta almost kama ile ya Vasco da Gama.Mama cjui kaimind ama vp.
 
Ujinga ni kitendo cha kuonyesha kutoujua ukweli. Upumbavu ni kitendo cha kuonyeshwa ukweli lakini ukaupuuzia ukweli. Ukweli wa Ziwa Malai kuwa lote la Malawi ulionyeshwa humu kwamba Anglo-Germany treaty of 1890 ndiy definitive state of Tanzania and malawi border.

Kama hukujua hili basi ujinga ungeondoka baada ya kujulishwa hili. Tumeandika sana lakini kwa sababu vichwa vimezoea kuelimika kwa kudesa basi ving'ang'anizi wakaganda na mawazo yao kwamba waenye akili wote wamegeuka kuwa wamalawi.

Sasa anzeni sasa kumuita JK kuwa ni Mmalawi naye maana Joyce Banda hakumumng'unya maneno katamka mbele yake kuwa Ziwa ni la Malawi kwa 100%.

Bernard Membe kauli yake iliyomo kwenye hansard haifutiki na kwanza alikosea hata kujua latitude za ziwa hilo.

Viva wote wapenda ukweli. Kamwe nisingeweza kushabikia wizi wa kuiba ziwa ambalo halikuwahi kuwa letu. Sasa ninapumua, yaliyobaki ni diplomacy ya kupunguza munkari ya wagumu wa kuelewa.
 
Hongera sana Mh.Rais kwa mazungumzo hayo na huyo mama Banda tunazidi kuomba neema za Mungu azidi kuibariki Tanzania yetu hatutaki vita kabisaa hongera sana Mh.Rais kwa hilo
 
Tushaibiwa hapa manake "mzee wa tabasamu" hana nguvu tena baada ya kuchekewa!!!!!
 
Ujinga ni kitendo cha kuonyesha kutoujua ukweli. Upumbavu ni kitendo cha kuonyeshwa ukweli lakini ukaupuuzia ukweli. Ukweli wa Ziwa Malai kuwa lote la Malawi ulionyeshwa humu kwamba Anglo-Germany treaty of 1890 ndiy definitive state of Tanzania and malawi border.

Kama hukujua hili basi ujinga ungeondoka baada ya kujulishwa hili. Tumeandika sana lakini kwa sababu vichwa vimezoea kuelimika kwa kudesa basi ving'ang'anizi wakaganda na mawazo yao kwamba waenye akili wote wamegeuka kuwa wamalawi.

Sasa anzeni sasa kumuita JK kuwa ni Mmalawi naye maana Joyce Banda hakumumng'unya maneno katamka mbele yake kuwa Ziwa ni la Malawi kwa 100%.

Bernard Membe kauli yake iliyomo kwenye hansard haifutiki na kwanza alikosea hata kujua latitude za ziwa hilo.

Viva wote wapenda ukweli. Kamwe nisingeweza kushabikia wizi wa kuiba ziwa ambalo halikuwahi kuwa letu. Sasa ninapumua, yaliyobaki ni diplomacy ya kupunguza munkari ya wagumu wa kuelewa.

Whether wewe ni mmalawi au mTZ, pointi zako ni za kishabiki tu. Na kama unafikiri tutaachia hilo ziwa basi UMELIWA. Tafuta hoja za mkuu KICHUGUU kwenye threads mbambali za hii issue halafu changanya na logic na common sense. Maji yaliyo upande wa TZ ni yetu kama yalivyokuwa ya mababu zetu hata kabla ya ukoloni. Hatuyaachii hata kama Membe amekosea hizo coordinates zako!
 
Back
Top Bottom