Picha: Rais Dkt John Magufuli akiombewa na viongozi wa Kidini baada kufungua Kiwanda cha Alizeti

Viongozi wengi wa dini wa zama hizi siyo wa kuamini kabisa,
Hizi ni zama za watu kutumikia matumbo yao na siyo Mungu
 
Hapa ndipo viongozi wa dini wanaponichoshaaaa
Huyu wa kuombewa au wa kutubu?
Acheni kutania akili za waumini wenu
 
Hakuna hata kimoja ambacho Mungu anasikia. Hao wanaombea wote wanafanya kwa kuigiza tu, ili afurahia kuona anapendwa.
 
Kuna Msemo sikio LA kifo halisikii dawa, huyu Rais tuliyenaye ht Yesu angekuwepo nyakati hizi angemwambia asimpangie cha kufanya. Utawala wake, hajui ugawanaji wa majukumu mpk matawi ya bank anaenda kuzindua. MBNA hatukuwahi kusikia JK akifungua tawi LA bank tena CRDB
Mbona bukoba alifungua tawi la kagera farmers na hotel ya chama cha ushirika cha kahawa
 
Wanautimiza wajibu wao. Tumeamriwa na Mungu kuwaombea viongozi wetu. Hata wewe mwombee utapata Thawabu
 
Hahaha huyu jamaa muoga sana anapenda kujificha kwenye kichaka cha kuombewa ndio kwanza safari umeianza utaombewa mpaka na majini
 
Back
Top Bottom