Picha: Pyongyang Korea Kaskazini

Acha uongo ni kweli wapo vyema shida ni namna wakubwa wa dunia walivyowatangaza kwa dunia vibaya ila kiuhalisia hawapo kama tunavuyoaminishwa. NB usipokuwa unakubali rasilimali zako kuliwa na wakubwa na kukupangiwa nini cha kufanya lazima wakuchafue taswira yako usisahau tuliambiwa Russia hana uwezo wa kupigana vita miezi mitatu sasa ni kipindi gani kimepia je uchumi wake ukoje.
Uliwahi ona Wachina wangapi au South Koreans wanatoroka nchi kukimbilia North Korea?

Kwa upande mwingine, raia zaidi ya 30,000 (elfu thelathini) wa North Korea walikimbilia South Korea. Na mpaka wao una senyenge, mabomu ya ardhini, uzio na walinzi wenye silaha na amri ya kumuua yeyote anayetaka kutoroka nchi. Nyuma ya hizo successful defections kuna ambazo hazikufanikiwa waliouwawa na kukamatwa.
China sababu haina mpaka mgumu na N. Korea hupokea defections nyingi ila huwa inawarudisha au inawaweka kwenye viwanda kuwatumikisha, au wanaume wa Kichina ambao ni rejects kwenye jamii huwaoa wanawake wa North Korea waliotoroka au human traffickers wa China huwachukua hao wakimbizi.

Korea iwe vizuri alafu raia wake wafe wakitoroka nchi? Mfano mwanzilishi wa Samsung ni mtoro wa North Korea aliyekimbilia South. Sasa Samsung inapata faida kwa mwaka kubwa kuliko bajeti nzima ya North Korea 😀
 
We jamaa umejawa Ujuaji wakijinga usio na Maana unajiona mjuaji wakila Jambo
Mada Hapa ni Miundombinu ww unaleta Upuuzi Usio husiana na mada husika
 
wewe hizo senyenge uliziona mchambuzi gani unalishwa matango pori , sasa hio samsung ni ya leo ina miaka mingapi kama mtu aliamua kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine kwani ni shida?
Wewe tuletee ushahidi mzee acha ngonjera zako mabwana zenu wakishaona hupelekeshwi ndio njia wanatumia kukupaka tope.
We si unaona hata uchambuzi wako juu ya urusi kwenye lile jukwaa la international ulivyoangukia pua sasa kule unaonekana kwa tochi.
 
wewe hizo senyenge uliziona mchambuzi gani unalishwa matango pori
Wewe hizo picha ulizoleta uliziona wapi? Kama picha za majengo umeziona, picha za uzio zinashindwaje kuonekana? Video za defections zipo nyingi tu, na unazijua ila unakaza fuvu.
sasa hio samsung ni ya leo ina miaka mingapi kama mtu aliamua kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine kwani ni shida?
Samsung inapata net profit (baada ya kufanya matumizi yote) inayozidi bajeti ya North Korea. Hapo huoni shida? Yani Kenya wawe na kampuni moja yenye faida kuliko bajeti ya Tanzania alafu useme Tanzania ina maisha mazuri.

Huyo founder wa Samsung angepata wapi fursa kama angebaki nchini kwake ambapo biashara binafsi zinabanwa.
Wewe tuletee ushahidi mzee acha ngonjera zako mabwana zenu wakishaona hupelekeshwi ndio njia wanatumia kukupaka tope.
Mkiambiwa ukweli mnasema mmepakwa matope. Unataka tuseme North Korea inaizidi uchumi na miundombinu South Korea?
We si unaona hata uchambuzi wako juu ya urusi kwenye lile jukwaa la international ulivyoangukia pua sasa kule unaonekana kwa tochi.
Yamekushinda ya kutetea N. Korea nchi inayopokea misaada ya chakula.
 
We jamaa umejawa Ujuaji wakijinga usio na Maana unajiona mjuaji wakila Jambo
Mada Hapa ni Miundombinu ww unaleta Upuuzi Usio husiana na mada husika
Wewe kilaza inakuuma nini mimi kuwa mjuaji. Nawewe nenda mada unazoweza kuonyesha ujuaji, za kina Juma Lokole na sijui nani Biriani
 
Treni zenyewe za SGR hadi leo ndo vile ,dar kuna treni kama zile??
Tren zinaendelea kuja
Hatuwezi kujikinga Isha na watu wenye vikwazo wao lazima watakuwa chini tu

Ila lakini sisi tunakwama wapi yaani hata tukisema tujitafakari.
Fikiria tuna dude Kama serengetil
 
Viongozi wetu pamoja na kuzurura nchi nyingi kujifuza lakini hatujafikia hata robo ya maendeleo ya Korea kaskazin!
 
Swali kwa Kiduku: watu wako wako wapi?

Tafuta picha za downtown Shanghai na New York uone mtiririko wa watu na traffic ya magari, treni, meli, ndege muda wote halafu linganisha na hizo hapa.

Hiyo nchi kila kitu kiko “choreographed” kionekane kama boss anavyotaka. Kila kitu kiko controlled hata mizunguko ya watu. Miji haina “uhai”. Rasilimali zinatumika bila kuzingatia mahitaji halisi ya wananchi bali ukoo wa Kim.

Miaka ya 50-80, China ya Mao ilikuwa hivyo hivyo na picha zao nzuri kama wako peponi huku wananchi wakiteseka na umasikini. Kuanzia 90 wakaona ujinga huo wakafungua milango na kuanza kukamatia fursa za kila aina.

Kwa advantage waliyokuwa nayo: population kubwa, elimu makini na msingi mkubwa wa teknolojia, na uchapa kazi leo wanaipigia honi Marekani kiuchumi. Miji yao ni kash kash masaa 24 all the time. Watu wa dunia yote wanapigana vikumbo all the time.
 
Back
Top Bottom