PICHA: Prof. Jay akiinadi CHADEMA Ifakara

PICHA: Prof. Jay akiinadi CHADEMA Ifakara

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Huyu ni moja ya wasanii waliopinga utawala wa Mkoloni mweusi.

attachment.php

Pro.Jay Ifakara Jana
Mpe neno la kizalendo
 
Attachments

  • 10568902_663366927086076_2213754981155346894_n.jpg
    10568902_663366927086076_2213754981155346894_n.jpg
    16.4 KB · Views: 3,384
Sasa kama wewe unafanya hawa ulofanya baba zao wawaruhusu kuimba wanangoja nini?!!@..ALLUTA CONTINUEA KAMANDA JAY
 
Safi kamanda j, umetuonyesha uhalisia wa nyimbo zako na baada ya kuingia chama cha wazalendo tz,wasanii wengine ingieni
 
Huyo kafulia vibaya sana siwezi kushangaa akiamua kujificha kwenye hilo chaka.

Ila kakumbuka shuka kumekucha. Wenzie wanatoka ye ndo anakumbuka kuingia?

Siku zote alikua wapi? Bahati mbaya kaingia kipindi kibaya ambapo kakuta chama lenyewe ndo limeshazikwa rasmi.

Wabongo kwa kuiga hatujambo. Kisa mvuta bange kaingia mgodini kaibuka na dhahabu basi kijiwe kizima wanataka wazamie huko pasipokujua bahati ya mwenzio huwezi kuilalia mlango wazi. Na akumbuke wananchi wanalalamika kwa makosa waliyoyafanya mbeya kwa kumpeleka bungeni mvuta mbangi.

Alafu siku hizi huyo jamaa ni mpambe wa lady jay dee na inasemekana yeye ndo chanza cha kuisambaratisha ndoa ya jide na gardner, kisa umbea ili anunuliwe bia.

ARV zinafanya kazi vizuri make naona mchizi kanawili ile mbaya...

Tunawatakia kila laheri yeye pamoja na yule mchizi wa moro aliyevua stejini akabaki na pajama(boxer) katika harakati zao za kusaka tonge baada ya wapaka poda kuwakimbiza kwenye ulingo wa muziki.
 
Huyu kavaa suruali ya kijeshi, ngoja wamuone ndiyo atajuwa vizuri kuunadi upiganaji.
wewe hujajitambua bado ndo mana unaona magamba badala ya magwanda..
hivi umesha pakuliwa weyee??
nape.jpg nape.jpg
 
Huyo kafulia vibaya sana siwezi kushangaa akiamua kujificha kwenye hilo chaka.

Ila kakumbuka shuka kumekucha. Wenzie wanatoka ye ndo anakumbuka kuingia?

Siku zote alikua wapi? Bahati mbaya kaingia kipindi kibaya ambapo kakuta chama lenyewe ndo limeshazikwa rasmi.

Wabongo kwa kuiga hatujambo. Kisa mvuta bange kaingia mgodini kaibuka na dhahabu basi kijiwe kizima wanataka wazamie huko pasipokujua bahati ya mwenzio huwezi kuilalia mlango wazi. Na akumbuke wananchi wanalalamika kwa makosa waliyoyafanya mbeya kwa kumpeleka bungeni mvuta mbangi.

Alafu siku hizi huyo jamaa ni mpambe wa lady jay dee na inasemekana yeye ndo chanza cha kuisambaratisha ndoa ya jide na gardner, kisa umbea ili anunuliwe bia.

ARV zinafanya kazi vizuri make naona mchizi kanawili ile mbaya...

Tunawatakia kila laheri yeye pamoja na yule mchizi wa moro aliyevua stejini akabaki na pajama(boxer) katika harakati zao za kusaka tonge baada ya wapaka poda kuwakimbiza kwenye ulingo wa muziki.

sweet dream huisha unapoamka
 
hivi huyu alikuwaga mwanamuziki wa mahadhi gani vile????!!! hebu tukumbushane japo kawimbo kake kamoja... teheeeeeheeee
 
huyu ndiye aliyewashawishi wazazi wa wasanii wabongo kuukubali mziki enzi hizo, akiwa na wenzake mbalimbali, ambao hao wasanii wa sasa waliopo ccm ndio wanamuheshimu kama mkuu.
 
Naona uko mbali sana na sheria mpya za Tanzania.

Unakumbuka lema na mwanajeshi wake feki Arusha? unajuwa kilichomkuta? uliza kama hujuwi.

Na balozi wa china na magamba aliyovaa, ni nini kilimkuta?
 
Back
Top Bottom