Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,802
Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi
He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi
He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?