Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 14,818
- 21,325
Nilidhani Dodoma!Pahala salam.. Mbali na wahuni
Nilidhani Dodoma!Pahala salam.. Mbali na wahuni
Si angemshauri Magufuli?nope. Polepole alikuwa "hamwelewi" huyu maza from ze beginning. Alimstukia mapema sana kuwa tumepigwa
Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki
Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa kupata wagombea (wa Urals) haukuwa sahihi
He ndio yeye alikuwa nyuma ya hawa waliondika hili gazeti?
View attachment 3407078
Presha inaenda kumua mtu