Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,670
- 218,173
Huu ni mkutano katika kata ya Ruaha uliopigwa leo jumamosi
Ili kuinusuru ccm ni vema polisi waendelee kutumika
Ili kuinusuru ccm ni vema polisi waendelee kutumika
Noma sana !CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU
Kama alivyokuwa Mussa kwa wana wa Israel.CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU
Kwahiyo safari ya Morogoro imeishia Ipogolo?!Huu ni mkutano katika kata ya Ruaha uliopigwa leo jumamosi
View attachment 1128451
View attachment 1128454
View attachment 1128457
Ili kuinusuru ccm ni vema polisi waendelee kutumika
Mutafungwa hana muda mrefu , subiri .Kwahiyo safari ya Morogoro imeishia Ipogolo?!
Mutafungwa kweli kiboko!