tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
kwakua nyie chadema mna agenda ya udini nyuma ya pazia,bac muweke na alama ya msalaba kwenye bendera yenu ili muwe open zaidi.
Kilichoipeleka CUF chumba mahututi si udini uliokuwa ukipigiwa upatu na CCM bali kuji- identify kwao na genge la mafisadi hawa. Ndoa yao na CCM imewachanganya wananchi kiasi cha kuamini kwamba kumbe walipotea njia na kwamba CUF na CCM ni wamoja! CCM (Haswa wanapozidiwa) ni hodari sana wa kucheza karata za ukabila, ukanda na udini ili watekeleze malengo yao. Mwaka 1995 walihaha wakinadi NCCR ni ya wachagga na kwamba kuiweka madarakani ni kuwakabidhi nchi! Mwaka 2000 CUF walipokuwa na nguvu waliwageuzia kibao na kunadi wana sera za kidini ingawa cha kushangaza leo wamefunga ndoa na walewale watuhumiwa wa udini na hatuwasikii tena CCM wakimtuhumu mshirika wao huyo kwa udini bali CHADEMA. Mwenye akili timamu yeyote ataelewa udini na ukabila wa CHADEMA ni propaganda za CCM ambazo sasa wananchi wamezielewa vema na hawadanganyiki tena. Kuanzia mwanzo CHADEMA ilikuwa na mseto wa viongozi wa dini na kutoka maeneo mbalimbali. Hebu tujikumbushe waliopata kuwa viongozi wa CHADEMA; Mtei alikuwa Mkristo, Bob Makani Mwislamu, Dr. Aman Kabouru mwislam, Shaibu Akwilombe mwislamu, na sasa Makamu Mwenyekiti Mh. Arfi ni mwislamu n.k. Kisha chunguza hao wanatoka wapi? Mtei anatoka Kilimanjaro, Bob Makani Msukuma, Kabouru anatoka Kigoma, Shaibu Akwilombe (Aliyekuwa Makamu Katibu Mkuu hadi alipokimbilia CCM) ni wa kusini sasa ukabila na udini uko wapi hapo? Ukweli ni kwamba sera hizi za kijinga zinapuuzwa na wananchi, ndiyo maana CHADEMA imeendelea kujizolea umaarufu zaidi na kuchaguliwa na wananchi kuongoza majimbo mengi zaidi ya chama chochote cha upinzani kwa sasa katika nchi hii.udini upo wala msibishe na mkae mkijua hilo ndio litakuwa tatizo lenu kubwa uko mbele ya safari
si mnawakumhuka cuf walivyoonza na mambo yao ya kidini sasa kwishney nanyi msipoangalia
itakula kwenu-kwenye ukweli jaribuni kuwa wapole msiwe kama mpunga una rangi gani
NIKIFANYA KAZI NA MTU KAMA HUYU WA KULIA NITAKUWA SIMRUHUSU AiNGIE OFISINI KWANGU KAMA SIPO!!!!!!
tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
Nduguyangu tatizo la Zito si ndege si mnyama mafisadi wa magamba wanamtumia , wewe unaona ni sawa alivyotangaza kugombea uraisi wakati anajua chama kipo kwenye kampeni Arumeru?
Post haina shida ila maelezo yake ndo pumba
kwakua nyie chadema mna agenda ya udini nyuma ya pazia,bac muweke na alama ya msalaba kwenye bendera yenu ili muwe open zaidi.
Kwa jinsi zito anavyotazama anachoandika mbowe ni unproffesional!
NIKIFANYA KAZI NA MTU KAMA HUYU WA KULIA NITAKUWA SIMRUHUSU AiNGIE OFISINI KWANGU KAMA SIPO!!!!!!
tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
yasituhadae macho, huenda jamaa ana makengeza! ila kama kweli 'anaibia' kwa mbowe basi hata skuli alikuwa noma.Kwa jinsi zito anavyotazama anachoandika mbowe ni unproffesional!
NIKIFANYA KAZI NA MTU KAMA HUYU WA KULIA NITAKUWA SIMRUHUSU AiNGIE OFISINI KWANGU KAMA SIPO!!!!!!