Alikuwa mpenzi sana wa muziki wa dansi
nadhani ana mtoto wake ndio anamiliki baa ya calabash na pia huwa ni mwimbaji anaitwa Milton.....pia ana kampuni ya ujenzi inaitwa aquifer
Ni kweli na ni kaka wa huyu Marehemu MAZEMBE....Ana bendi inaitwa GURUMETI
WATEJA NDANI YA KIOTA CHA CALABASH
Kwa picha hii ya kilaji nasikia kiu ghafla!
Ni JOSEPH KIZURITO NYERERE.....Baba na Mama mmoja na JULIUS.....Muasisi wa MANGO GARDEN......Hapo yupo na marehemu HEMED MANETI ULAYA wa Vijana Jazz
Uko sahihi kabisa hapo kwenye red sahihisho kidogo ni KIZURIRA
Alikuwa mpenzi sana wa muziki wa dansi
Hii picha imepigwa kutokea FUTURE siku, mwezi na mwaka ukienda hapo Calabash lazima utawakuta hao raia...