Picha: Nyegere

Picha: Nyegere

Pia nyegere ni bingwa wa Kula nyoka, na hata nyoka awe mkubwa, na pia sumu kali vipi ataliwa tuu na nyegere.
Inasemekana ile sumu ya nyoka kwa nyegere ndo sawa na kilevi chake kikubwa.
 
Niliwahi kumuona kwa macho!!! Ni mnyama mwenye nguvu sana pia kifua chake ni tofauti na wanyama kama mbwa au simba!! Ana kifua kipana kama binadamu!!
 
Honey-Badger-Dont-Care.jpg

Mnanitafutia nini?! ... mimi nimetulia zangu

Earthmover.Zamaulid.mjukuum.Scofied.

Ha ha ha ha Nyegere bana.!
 
Last edited by a moderator:
Huyu mnyama nilimwona kwenye muvi ya the gods must be crazy,kitu kimoja cha ajabu kwa huyu jamaa hakati tamaa,in king' ang' anizi mwanzo mwenga labda umuue
 
Man U Ashik mahajuuuni....., wanatamani kukunwa na SIMBA.
 
Huyu mnyama nilimwona kwenye muvi ya the gods must be crazy,kitu kimoja cha ajabu kwa huyu jamaa hakati tamaa,in king' ang' anizi mwanzo mwenga labda umuue
Rweye

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom