Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
- Thread starter
- #21
Kumbe ndio kanaitwa nyegere
.....eeehhhh hako hako kakiingia ndani mnahama !!!
cc Preta
Kumbe ndio kanaitwa nyegere
Ila mimi nipo siku nyingi tu .. karibu ndo mwanzo wa kumfahamu Nyegere as they say JF ni kisima cha maarifa maana sasa utaweza kufuatilia links & sources nyingi ili kumfahamu zaidi huyu kiumbe
Yees! ... ndio mimi! .. Nyegere aka The Honey Badger - Mellivora capensis! ... U r welcomeKumbe ndio kanaitwa nyegere
Kama uliangalia ile movie ya the god must be crazy utaelewa ubishi wa huyu kiumbe
Yees! ... ndio mimi! .. Nyegere aka The Honey Badger - Mellivora capensis! ... U r welcome
![]()
Ila nackia huyu mnyama anawivu kuliko kiumbe chhte
Ahahahaa..ndiyo mwenyewe..huwa anamtanguliza mke wake mbele yy nyuma..hataki hata kiujani kimguse mke wake
nifah .... Kwa Tanzania hupatika zaidi Kanda ya kaskazini hasa sehemu za Milima ya Kamwala wilayani Mwanga-Kilimanjaro. Pia hupatikana kanda ya ziwa Mara-Musoma,Bunda na Srengeti Mwanza- Sehemu za Sumve na Misungwi. Kuna aina mbalimbali za Nyegere, katkaka mazingira yetu aina mbili ndizo zinapatikana kwa wingi. Yakwanza ni wale weusi mwili wote na aina ya pili ni wale wenye weupe katika mikia yao hasa katika ncha ya mkia.Duuh! Ndio kwanza nimemjua hapa hii leo.Sasa mkuu Nyegere huyu mnyama kwa hapa Tanzania anapatikana maeneo gani?
nifah .... Kwa Tanzania hupatika zaidi Kanda ya kaskazini hasa sehemu za Milima ya Kamwala wilayani Mwanga-Kilimanjaro. Pia hupatikana kanda ya ziwa Mara-Musoma,Bunda na Srengeti Mwanza- Sehemu za Sumve na Misungwi. Kuna aina mbalimbali za Nyegere, katkaka mazingira yetu aina mbili ndizo zinapatikana kwa wingi. Yakwanza ni wale weusi mwili wote na aina ya pili ni wale wenye weupe katika mikia yao hasa katika ncha ya mkia.
Nyegere hua katika utafutaji wa chakula wakati wa usiku zaidi ni vigumu kumkuta nyegere akiwa anazurura wakati wa mchana, wakati wa mchana anakua katika pango au sehemu za vichaka. Nyegere hupendelea kula kuku na ni tatizo kubwa sana kwa wafugaji wa kuku hasa wale wanaofuga kwa kuwaachia kuku huru, ufugaji horera.
Nyegere ni Mnyama mkali japo mdogo kwa umbo, Nyegere anapokasirishwa maranyingi lazima afanye kitu kibaya kwa manadamu kama utashindwa kumuwahi na kumdhibiti( kwa lale wanaotokea Kilimanjaro hasa milima ya Upareni-Kamwala mwanga anajilikana kama MBA)
Inasemekana kua MBA-Nyegere anapokutana na mwanaume hukimbilia kung'ata sehemu za siri, na mwanamke hukimbilia Matiti. Japo kwangu mimi sijawahi kukutana na kesi kama hiyo ya mtu aliyepata tatizo la kung'atwa matiti au hesemu za siri.
N.B:
Unakumbuka tukio lililotokea Tanzania ambapo hata kwenye magazeti liliripotiwa la Nyegere kushambulia familia?
Soma zaidi links:
https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...=lW_--e9PeRDxIYsfld0sUQ&bvm=bv.90491159,d.ZGU.
Ahsante sana mkuu Nyegere kwa elimu hii,hakika nimekuelewa vizuri sana.
Hahaaa ipi hiyo nifah. Halafu uache kunichunia, sio vizuri.
video ITV Pata habari juu ya familia ilivyoshambuliwa na Nyegere (TV) .. though ITV wamekosea jina la huyu jamaa
cc: nifah .Jast Bleiz.Mungo Park.Gogo la choo.MO11.Earthmover.