Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

  1. Kipindi cha uhaba wa sukari alisingizia, kuwa wafanyabiashara wameficha.
  2. Likaja suala la fedha kuadimika, nazo akasema kuwa mafisadi wameficha fedha.
  3. Issue ya DANGOTE akasema ni wajanja walitaka kujinufaisha na mradi huo.
Sasa kwenye suala la njaa, wanasingizwa waandishi wa habari...!
China watu kama nyie mnapigwa risasi mbele ya adhira. Huwezi kuwa mshabiki wa ujinga kama huu ukawa salama kichwani.
 
Mkuu huyu kiongozi wa sasa ana chembe chembe chache sana za uanasiasa kwenye damu yake. Cha muhimu sio kuanzisha mijadala yenye muelekeo finyu kwa taifa wala kunyoosheana vidole, ni kutatua matatizo kwa kuyakabili moja kwa moja sio kwa kutafuta sifa za bei rahisi.
Ndio maana kuna akiba ya chakula ya nchi na waziri mkuu alishatoa maagizo juu ya uangalifu wa matumizi ya chakula hicho.
Unafahamu hiyo akiba ya chakula inatosha kwa muda gani? Halafu hivi unaelewa mjadala ni nini hapa, au unaendeleza tu dhana ya uropokaji?
 
Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth
ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangw


Fanya editing kidogo!
 
Asee akiki Elimu Yako Maana ukitumia Mantic Hyo bac hata nchi za uarabun Zina njaa maana uki google pia hazina hali ya ukijan, Lakin Haujawai sikia kua wanalalama kama kuna njaa.. Nakushauri Rudi Shule Ukasome, Kwa kiwango Hicho Umefeli.
 
Unafahamu hiyo akiba ya chakula inatosha kwa muda gani? Halafu hivi unaelewa mjadala ni nini hapa, au unaendeleza tu dhana ya uropokaji?
Punguza kiburi chabusalu, kwanini nisifahamu mjadala ni upi?.

Wewe unaifahamu akiba kuliko watu wenye kushughulika nayo?. Kuliko Waziri Mkuu aliyetoa maagizo baada ya kuiona hiyo akiba?.
 
Mtoa mada yaani unazungumzia ukijani wa wiki moja baada ya mvua kunyesha?wakati kuna mazao kama mahindi yanategemea mvua isiyopungua miezi mitatu mpk kukomaa kwake.......
 
Hakuna njaa inayoweza kuwa linked na ukame, sijasikia Dubai wanakufa njaa, tutumie akili zaidi kwenye kazi na sio nguvu

*Hujafikiria kwa mapana Francis kwa sababu Dubai hali ya ukame ni maisha yao kwa asilimia zaidi ya 80,na kutokana na uchumi wao,hutegemea kununua chakula always na wamesha jitune kwenye hilo,huku kwetu Tunategemea kilimo cha mvua ya Mola wetu,(less irrigation) ungelikuwa mkulima ungejua nini watu wanachoongelea kwa ujumla hali ya mazao sio nzuri mwaka huu na inatakiwa kuchukua tahadhari kwa kipindi kijacho haya yasitokee,kwani Tanzania ni WET LAND,tujipange kwa kilimo cha kisasa cha umwagiliaji,kwa kifupi jua n kali mno linawafavor vikojozi tu kwa kuanika magodoro tu!
 
Huu uzi inazidi kunitia hasira tu, nikiangalia mazao yangu yalivyo nyauka shambani. Time will tell.
 
Punguza kiburi chabusalu, kwanini nisifahamu mjadala ni upi?.

Wewe unaifahamu akiba kuliko watu wenye kushughulika nayo?. Kuliko Waziri Mkuu aliyetoa maagizo baada ya kuiona hiyo akiba?.
Mkuu, kwani kwenye issue ya sukari si ni waziri mkuu alikuwa anatoa maagizo, au?
 
*Hujafikiria kwa mapana Francis kwa sababu Dubai hali ya ukame ni maisha yao kwa asilimia zaidi ya 80,na kutokana na uchumi wao,hutegemea kununua chakula always na wamesha jitune kwenye hilo,huku kwetu Tunategemea kilimo cha mvua ya Mola wetu,(less irrigation) ungelikuwa mkulima ungejua nini watu wanachoongelea kwa ujumla hali ya mazao sio nzuri mwaka huu na inatakiwa kuchukua tahadhari kwa kipindi kijacho haya yasitokee,kwani Tanzania ni WET LAND,tujipange kwa kilimo cha kisasa cha umwagiliaji,kwa kifupi jua n kali mno linawafavor vikojozi tu kwa kuanika magodoro tu!

*Cha msingi tupunguze siasa kwenye vitu vya kitaalam,siasa ni siasa miminapenda raisi kwa kitu kimoja tu zaidi "BITTER TRUTH" ambayo watu wengi hawapendi ok keshasema kuwa hana hela ya chakula hivyo ni kujiongeza mbona tuliweza kutoa mabilioni kwenye madawati ambayo ukilinganisha na chakula ni less important,viongozi sehemu zenye shida ya chakula hamna haja ya kulia,tatizo lipo tatueni kama viongozi ndio maana ya kuwa kiongozi mna kila tool,na nampongeza JPM na awekee mkazo katika hili ndio tutajua viongozi na mbulula na ningelikuwa mimi ningepigilia msumali kuwa "KIONGOZI AMBAE WATU WAKE WATAKUFA NJAA NAMSHITAKI KWA KUSHILIKI MAUAJI" huko huko kwenye njaa watu wanachangia harusi na mambo yasiyo ya msingi kama ulevi,etc-INABIDI TUELEWE FALSAFA YA RAISI YA [HASHTAG]#HAPA[/HASHTAG] KAZI TU! na kuibeba moyoni na kuitendea kazi
 
Wewe acha ujinga. Hebu angalia iyo picha ya google earth ilikuwa updated mwaka gani
 
Basi no noma.....
 

Attachments

  • Screenshot_20170112-095700.png
    Screenshot_20170112-095700.png
    512.8 KB · Views: 38
Achana na mapicha picha ya google Earth, wewe fanya kitu kama Transact walk kwa kupanda basi kutoka Moshi Kilimanjaro, safiri kwenda Mbeya kwa kupitia mikoa ya Arusha, Manyara, Singida, Dodoma, Iringa na hatimaye ufike Mbeya halaf ndo utaelewa hali ya ukame ilivo nchini...the situation is alarming!
 
Dogo nenda TMA upate data za mvua. Kuwa kijani haimaanishi muda wote chakula kinazalishwa. Point ni kwamba msimu huu kuna upungufu wa mvua unaosababisha kukosa mavuno. labda kama majani ya vichaka nayo ni chakula.
Duh. Kweli elimu elimu elimu.
Unashindwa connect the dots ukijani na mvua na chakula?? Huo ukijani pia ni misitu ambayo ni dense na inahitaji mvua ya kutosha ili iwe kijani, anzia hapo kuelewa uhusiano na ukijani na chakula, toka nje ya boks!!
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...

Mkuu hali ya hewa uko Karatu ikoje?
 
Google hawalimi, tuulize wakulima, mvua zimechelewa sana, pia kuna uhaba wa mvua, ok mwezi wa sita utaelewa vizuri nini namaanisha
 
Back
Top Bottom