Picha: Ng'ombe alemewa na nundu yake!

kibolibo

JF-Expert Member
May 2, 2012
384
220
aaah..acha mambo yako ww..
Kila mtu kwa raha zake hapa duniani..
Akuu..kwani umeambiwa anakula portability..
Kipenda rohooo....
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
27,322
30,733
Mzembe tu huyo.hayo ndio madhara ya kula chipsi biskuti na maji.

Mwanaume wakweli hakubarigi kishindwa sehemu kama hiyo.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom