Mkuu rombo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,556 Reaction score 423 Jul 18, 2013 #61 aiseeeee babayangu hii si habari kubwa kivile ni swala la rubani,waudumu na habiria kuamia mbele mbona itakaa sawa 2 au mmesahau mkifika chaline mazani mnaambiwa haya mlio njuma amieni mbeli tumefika mizani
aiseeeee babayangu hii si habari kubwa kivile ni swala la rubani,waudumu na habiria kuamia mbele mbona itakaa sawa 2 au mmesahau mkifika chaline mazani mnaambiwa haya mlio njuma amieni mbeli tumefika mizani
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 Jul 19, 2013 #62 kwa macho yangu ya uzee hii ndege hairuhusiwi hata kuruka na wala haiwezi kuruka kutoka hapo ilipo