Tatizo ATCL wanateuana kwasababu ya kuwa na kadi ya CCM.Interesting.....
tuone 'mapanga shaa' na hizi nani zaidi
Ngoja waje wafia chama...Interesting.....
tuone 'mapanga shaa' na hizi nani zaidi
Hahahaa mkuu hivi umewahi kupanda ndege kweli! Au nawe ni bendera fuata upepo!Naam, ndege imeenda shule hii. Kitu kimetulia. Ni jet engine. Yale mapanga shaaaa hata kwa bure sipandi.
Unaijua boarding pass mkuu?Naam, ndege imeenda shule hii. Kitu kimetulia. Ni jet engine. Yale mapanga shaaaa hata kwa bure sipandi.
Naam, ndege imeenda shule hii. Kitu kimetulia. Ni jet engine. Yale mapanga shaaaa hata kwa bure sipandi.