Picha: nani anatamani kusema haya!!

Picha: nani anatamani kusema haya!!

11053551_10152600021936512_7613296160763483043_n.jpg

This one ina mantiki sana..
 
nimeipenda pia na hii
 

Attachments

  • 1426234844513.jpg
    1426234844513.jpg
    27.1 KB · Views: 162
Mkuu naomba uniambie jinsi ya kukipata hicho kitabu

Mkuu hivi vitabu ni ngumu kidogo kupatikana siku hizi, hapo nyuma kidogo kuna jamaa walikua wanauza mitaa ya posta hapa Dar, na kuna kipindi nilikua stand ya mabasi pale Morogoro (Msamvu) kuna jamaa alikua anatembeza tena nadhani kwenye baadhi ya vibanda vya kukatia ticket kuna namba zake za simu!
 
Back
Top Bottom