Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

Pesa si mwanaharamu bali ufukara ndo mwanaharamu coz' wakati fedha ina-janisha(makes u young), ufukara unazeesha! Sasa nani hapo mwanaharamu?

Thumb up! thats true..! pesa kitu kingine alifu..
 
sidhan kama ule msemo wa pesa haiwez nunua chochote utakacho kama uko valid anymore nowdays!!!
 
Jacqueline, hakika umewatendea wema Watoto wako, kamwe hawata kulaumu, na watakushukuru Milele. Mapenzi ni kitu kingine, lakini, nani wa kuzaa nae, ni swala la kutumia akili zilizotukuka.

Be happy and enjoy your life Ky - lyn
.
 
Huyu jackline hachuji,tangu alivyo kuwa 2001 mpaka leo bado yupo vile vile kamzid hadi SITTI MTEMVU kwa uzuri

Ni kweli aisee siri ni kujitunza na kujipenda ndo kume mfikisha hapo pia hana stress tofauti na wenzako wanategemea kuuza papuchi waishi mjini waki fulia wanakua stress na kupauka kajitahidi kwa kweli she is looking younger than our bibi bomba Sitti
 
Dah mzee Mengi ndio anakamua huyu manzi,,aisee kweli pesa ni msala mkubwa! Duh aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…