Kuna jambo lilitokea ambalo itabidi nilifanyie post ....tags zote nilikuwa sizipati...naona nilitestiwaJe ni picha gani imekuvutia siku ya leo?
Je ni video ipi umeitazama na imekuvutia siku ya leo?
Basi tushirijishe hiyo picha/ video.
View attachment 829295
My Take
- Wanyama ambao katika jamii wanaogopeka sana.
- Watu katika Mataifa mengine wanacheza nao kwa umahiri mkubwa.
- Inavutia kwa kweli
CC Mshana Jr
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Kuchapiwa ni siri ya ndani"View attachment 889839
Picha yangu bora ya siku - 10.11.2018
View attachment 928762
Hakika hii picha inazungumza mengi?
- Je ni kipi umejifunza mwana JF
Nick Vujicic
No Arms, No Legs, No Excuses
View attachment 928914
Happy Family
View attachment 928915
View attachment 928916
Myahudi Jr II weka neno baada ya kutazama video zote.
Heee hii ni kweli au!? Mbona sijawahi sikia ikileta mtikisiko hii?"Kuchapiwa ni siri ya ndani"View attachment 889839
Ni kweliHeee hii ni kweli au!? Mbona sijawahi sikia ikileta mtikisiko hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hiiHeee hii ni kweli au!? Mbona sijawahi sikia ikileta mtikisiko hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatupo serious! Au ndio chozi la mnyonge malipo kwa Mungu baba!Kweli hii
Kenya walisema wameandika kuupromote mlima, kwani hawajasema upo kwao, pia kuna shirika la ndege la ulaya nalo limeandika hivyohivyo
Je hawanufaiki na hayo maandiko yao? Kama wananufaika basi ifanyike mkataba au waache tena hasa hasa Kenya kwa sababu wao wanaweza kuwahadaa wageni kirahisi kutokana na geographical location ya huo mlima. Hao Wa ulaya wanaweza kuwa na faida kwetu kwa upande mwingineKenya walisema wameandika kuupromote mlima, kwani hawajasema upo kwao, pia kuna shirika la ndege la ulaya nalo limeandika hivyohivyo