Picha na matukio ; mafuriko posta

Picha na matukio ; mafuriko posta

Kama ndo umengangania ikulu ; mafuriko haya yakakukuta lazima ukimbie;


magufuri haitaji mapesa kumtangaza ; yeye ni tangazo tosha;

yeye anajisifia barabara nchi nzima; sijui tutaweleza wanakijiji hizi barabra ajasimamia magufuri.


Mbowe anaaangaika ; kumuosha kwa dodoki; badala ya sera ....................
Utaisoma no
 
Hivi si ni tume hii hii ambayo EL atakwenda kuchukua fomu au? sasa siku hiyo ndo mtajua maana ya mafuriko ni nini ? sio haya majitu yenu mnayasomba kwa mabasi kwenda Lumumba siku hiyo mtakaa kitako kabisa ...subirini mbona mtafurahi sana


I hope kwamba hayo mafuriko yenu pia yatakwenda Monduli kumliwaza Mzee wenu baada ya kipigo cha October 2015.
 
Magufuli ni Rais tayari...pili Rais mchapakazi na muadilifu hana mvuto kwa vyama-saccos vya wapiga dili na madalali wa kisiasa.

kuna mdau jana alitoa kauli yenye afya kuwa "Magufuli ni sawa na house girl mwenye bidii anafaa kutumwa-tumwa tu sio wa kuoa.
 
Tatizo wananchi wanataka sijui nyota...sasa hizo nyota zenu zita wasaidia nn? tunataka kiongozi shupavu na sio nyota nyota haileti maendeleo...
 
Duuh siamini kama magamba hayachangii uzi wao wako busy na Lowasa.


Sasa Rais tayari ni Magufuli uchangie nini tena...tunamhurumia tu huyo Mzee jinsi alivyotapeliwa na DJ na genge lake
 
Haya sisi tuliacha panya tu nyumban msitupige mabomu ya machoz
 
Isije siku anaenda lowasa bwana kova akazuia asisindikizwe na watu kwa kujidai wamepata intelijensia kutakua na shambulio la kigaidi maana uyu kova ni nuksi sana
 
Hawa wa kukodi tu, subirini October 25 pale ambapo ni siri tu hujui aliyekupigia kura!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Duuh kumbe walichukua fomu jana? Daaah mbona hawakusema?
 
itafahamika tu october,,,,yaan haya magoli ya mkono labda wayafungie vijijinii huku town tumejanjaruka..
 
Mbona wale wenzie hawaonekaniki???...au ndo bado wanahasila ya kuambiwa wao ni makapi!!...hehehehee.
 
Back
Top Bottom