Aliposhinda mwanzo mahakama ilitenda haki Leo kashindwa mahakama ya rufaaa oh mahakama haijatenda haki. Lema alivyoshinda mkasema mahakama ya rufaa imetenda haki. Ruakatare kafutiwa mashtaka Jana mmeruka kwa shangwe. Ama kweli nyie ni mbululas
NINACHOKIONA NI KWAMBA CCM SASA WANAHAHA BAADA YA KUONA MAPOKEZI YA NGUVU. Wanasambaza Ujumbe huu ILI IONEKANE kama MZEE YAMSEBO anaomba RADHI na kwamba WANGEPENDA asikate RUFAA. "" Ndugu zangu wana CCM, Mimi Mzee Yamsebo Naomba Mnisamehe kwa yaliyojitokeza. Mimi ni Mwenzenu Hata Kadi ya CCM bado ninayo. Nishinikizo la watu ambao wamesababisha tufikie hapo na Bado wananishawishi nikate Rufaa. Muwaambie wana CCM wote Msinichukie. Tudumishe Mshikamano na Umoja wetu tuachane na mambo ya Udini, ukabira utatugawa. Tusifike huko ndugu zangu. Kidumu Chama Chetu." Huu ni Ujumbe wa SMS unaosambazwa na watu wa CCM mjini Sumbawanga. WAMETISHWA. Na Rufaa kwa Mujibu wa Habari za Awali kutoka kwa reliable source inatayarishwa.Hata baada ya mahakama kuu ya rufaa kumrudishia ubunge, ikiwa na kubatilisha maamuzi ya awali ya mahakama kuu kanda ya Sumbawanga yaliyomvua ubunge mbunge huyo kisha, mpinzani wake Ndugu Yamsebo apata mapokezi mazito ajabu, kweli Aeshy ana wakati mgumu kuliongoza jimbo la swanga, moja ya jumbe katika mabango yanasema AESHY NI MBUNGE WA MAHAKAMA NA SI WA WANANCHI.
My take; Kama watu unaotaka kuwaongoza hawakutaki,je bungeni waenda kufanya nini? Ni vyema kujitafakari upya!
Subiri updates za picha
Inawachoma sana eeh??
Aeshi atabakia kuwa Mbunge wa Sumbawang Daima!
Aliposhinda mwanzo mahakama ilitenda haki Leo kashindwa mahakama ya rufaaa oh mahakama haijatenda haki. Lema alivyoshinda mkasema mahakama ya rufaa imetenda haki. Ruakatare kafutiwa mashtaka Jana mmeruka kwa shangwe. Ama kweli nyie ni mbululas
si aliwarangua wananchi kwa kanga na vitenge? Pia pinda kamsaidia kuchakachua matokeo!Wananchi wangekua hawamtaki Aeshi asinge shinda!
Aliposhinda mwanzo mahakama
ilitenda haki Leo kashindwa mahakama ya rufaaa oh mahakama haijatenda
haki. Lema alivyoshinda mkasema mahakama ya rufaa imetenda haki.
Ruakatare kafutiwa mashtaka Jana mmeruka kwa shangwe. Ama kweli nyie ni
mbululas
Hao walioshika mabango ni asilimia ngapi ya wananchi wapiga kura wa sumbawanga?
Kipimo cha demokrasia ni kura na sio mabango ya wanywa viloba jipeni moyo
Inawachoma sana eeh??
Aeshi atabakia kuwa Mbunge wa Sumbawang Daima!
vipi kuhusu vijana wa bodaboda mmeshawalipa pesa zao? kwani wamekwenda kudai kwa mzee yamsebo akasema hana na fujo zikaanza mpaka police wamefika kutuliza fuzo ila mpaka mudaa huu vijana wapo hapo kwake wakisubiri malipo yao.
Hao vijana wameshalipwa au bado ndilo swali la msingi kwa dhulma siyo nzuri na mbaya zaidi mmewaitia police.
Aliposhinda mwanzo mahakama ilitenda haki Leo kashindwa mahakama ya rufaaa oh mahakama haijatenda haki. Lema alivyoshinda mkasema mahakama ya rufaa imetenda haki. Ruakatare kafutiwa mashtaka Jana mmeruka kwa shangwe. Ama kweli nyie ni mbululas
Chadema nyie ni wajinga wa kutupwa, Mahakama sio nyumba za Wachaga, mkishinda nyie nzuri, wengine wakishindahazijatenda haki.
Huu upuuzi sasa.
Kipimo cha demokrasia ni kura na sio mabango ya wanywa viloba jipeni moyo
Hizi ni Comment za watu wa dini moja na chuki dhidi ya wachagga... Dhambi hii ya ubaguzi ndiyo inayoigharimu CCM mpaka leo. Uwepo wa JK na Mzee wa nyuklia pamoja na aeshi umewafanya mshabikie CCM.
CUF waliambiwa hivyo hivyo - chama cha waislamu na Magaidi hata CDM nayo inaitwa hivyo hivyo chama cha wakristo na magaidi. Sasa CCM wamebaki wapagani, Wakristo na waislamu kwac kuitwa magaidi wanajitoa pole pole.
hayo maneno ya kuhusisha chadema na wachanga ndio sasa hivi yanaiumiza ccm
Kama na wewe unaushabiki wa kike, basi unaweza ukawa na mimba isiyotarajiwa.
Wewe umelewa bange za sugu na lema.