Picha na mapokezi ya Yamsebo(CHADEMA)~Sumbawanga

Picha na mapokezi ya Yamsebo(CHADEMA)~Sumbawanga

Alichopanga Mungu mwanadamu hawezi pangua,Aeshi ndio mbunge hayo mabango hayana maana wakati huu,ondoeni chuki mshikamane kuleta maendeleo muda wake ukifika Mungu akipanga basi Yamsebo nae atakuwa.
 
[h=5]Aliyeshindwa kesi ya ubunge apokewa kwa maandamano: LICHA ya aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Norbert Yamsebo kushindwa kesi ya kupinga matokeo ubunge kwenye jimbo hilo katika Mahakama ya Rufaa mwanzoni mwa wiki jijini Dar es Sahttp://tinyurl.com/bwbue2r[/h]
 
Wewe umelewa bange za sugu na lema.
ukweli unabaki palepale hata kama ukijifanya huna masikio ya kusikia au huna macho ya kuona,uongo wenu lazima utakula kwenu. sasa hivi kwa kumuongopea Sheikh Ponda bado itakula kwenu
 
Mh.Norbeth Yamsebo wewe ndie mbunge wangu,huyo MBULULA atendelea kuongoza MBULULA wenzake wasiopenda mabadiliko,ukiona mbunge anashindwa kujenga hoja na serikali ikajenga barabara na badala yake anatoa fedha mfukoni,ujue huyo ni MBULULA,Mungu ibariki Sumbawanga.
 
Back
Top Bottom