Picha:Mwigulu Nchemba Atikisa Kalenga hii leo,CCM USHINDI ASILIMIA 99.9

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
Hii leo Mwigulu Nchemba ametikisa Jimbo la Kalenga Kata ya Magulilwa<chadema Wapoteana Kalenga eti wanaomba Kufanya Kampeni hata siku ya Uchaguzi Kwa Helkopta,
Picha zaidi Zinawajia
1620663_617754234945071_1033110941_n.jpg
1234276_231780753690827_32267043_n.jpg
Katibu Mkuu CCM Taifa (Kulia) Kanali Mstaafu Kinana na Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara (Kushoto) Mh.Mwigulu Nchemba Wakimnadi Mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey William Mgimwa(Katikati) hii leo Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Uliofanyika Kata ya Magulilwa,Kijiji cha Magulilwa.
1497569_617757078278120_382727024_n.jpg
1010117_617757264944768_1465151726_n.jpg
1902858_617757364944758_1317015613_n.jpg
1798190_617754491611712_1874898856_n.jpg
Mapokezi ya Msafara wa Mgombea wa Jimbo la Kalenga-CCM akibebwa Juu Juu akiingia kwenye Uwanja wa Mkutano wa Kampeni hapa Magulilwa.
1926901_617758238278004_1789227912_n.jpg
Mh.Deo Filikunjombe akizungumza na Wananchi wa Kata ya Magulilwa hii leo wakati wa kampeni za Kumnadi Godfrey William Mgimwa.Mh.Deo amesisitiza Wanakalenga kuachana na Kelele za Wapinzani Kwasababu wamejaa maneno na Sio Vitendo.Yeye kama Mbunge wa Mkoa wa Iringa wanatambua Mchango Mkubwa auliofanywa na Marehemu Mgimwa kwenye Jimbo la Kalenga.Hivyo hakuna haja ya Kufanya Mabadiriko ya kuwapa Wapinzania ilihali Jimbo la Kalenga Ilani yake imetekelezwa Vizuri sana na bado Godfrey Mgimwa atamalizia yale yaliobakia kwenye Utekelezaji wa Ilani.
1240347_617758304944664_781899473_n.jpg
Mh.Kangi Lugola akizungumza na Wananchi wa Kata ya Magulilwa hapa Kalenga na Kusisitiza kuwa ametoka Mwibala kwaajili ya Kuhakikisha Wanakalenga hawatoi nafasi kwa Wapinzani kwasababu Bungeni wamekuwa ni Kero kwa Kukosa nidhamu na Heshima kwa Umma wa Watanzania.
1800188_617758351611326_836370627_n.jpg
Mh.Mgimwa ambaye ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii akizungumza na Wananchi wa Magulilwa hii leo wakati wa Mkutano Wa Kampeni hapa Kalenga.
1798341_617758411611320_254437807_n.jpg
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Bi.Jesca akiomba kura kwa Wanamagulilwa hapa Kalenga kwaajili ya Godfrey William Mgimwa Tar.16/03/2014 siku ya Uchaguzi.
1978857_617756564944838_266892148_n.jpg
1901909_617755344944960_1575614291_n.jpg
10001551_617756101611551_1366311001_n.jpg
Naibu katibu Mkuu CCM-Bara akizungumza na Wananchi wa Kata ya Magulilwa hii leo Kwenye Mkutano wa Kampeni Jimbo la Kalenga.
10003250_617755781611583_1070243164_n.jpg
Sehemu ya Wananchi waliofika Kwenye Mkutano Wakionesha ishara ya Kwenda Kumpigia Kura Godfrey William Mgimwa Tar.16/03/2014.
10013807_617757991611362_778698977_n.jpg
Mmoja Wa Wananchi akionesha gazeti alilokuwa anasoma lililobeba Ujumbe Kuhusu Siasa Chafu Zinazofanywa na Chadema Jimbo la Kalenga.
1966867_617758154944679_1085149906_n.jpg
Kusho na Kulia ni Wagombea Wenza kwenye Kura za Maoni CCM wakati wa Kuchagua Mwana-CCm atakaye Gombea Ubunge jimbo la Kalenga.Wagombea Wenza hawa wamekuwa Bega Kwa Bega na Godfrey William Mgimwa kwenye Kampeni hizi ikionesha wazi CCM ni Wamoja.
1391675_617759441611217_83612017_n.jpg
1497484_617759211611240_409862970_n.jpg
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga Godfrey William Mgimwa akiomba Kura kwa Wananchi wa Kata ya Magulilwa hii leo.
1510499_617756538278174_1069494640_n.jpg
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akifurahia Jambo na Mbunge wa Mwibala Mh.Kangi Lugola hii leo wakati wakuahirishwa kwa Mkutano wa Kampeni Kata ya Magulilwa Jimbo la Kalenga.
1898193_617759468277881_320250407_n.jpg
Hatimaye Mkutano Umemalizika hapa Kata ya Magulilwa,Katibu Mkuu akiwa anaondoka na timu yake hapa Magulilwa.
1234276_231780753690827_32267043_n.jpg

 
Wewe ndiye uliyetikisika!

Amekuja na zile hela alizochuakua benki mchana!
 
Hii leo Mwigulu Nchemba ametikisa Jimbo la Kalenga Kata ya Magulilwa<chadema Wapoteana Kalenga eti wanaomba Kufanya Kampeni hata siku ya Uchaguzi Kwa Helkopta,
Picha zaidi Zinawajia
1234276_231780753690827_32267043_n.jpg


Inawezekana kwan zile million 90 ameshazigawa?
hahahahhahahahahaha hela twala msimamo uleule,
namuona mzee wa pembe za ndovu kwa mbaliii!
 
picha hii imeshindwa kunishawishi tikisiko, weka nyingine labda ita
 
Bila hata aibu CHADEMA wanadai eti usafara wa mgombea ubunge wao ni helikopta.

Kawaida ya Ulaghai huwa hauna hata aibu katika jamii iliyopevuka.

Sasa kama usafiri wa mgombea wa CHADEMA kalenga ni helikopta, hapa alikuwa anafanya nini na alikuwa kwenye usafiri gani.
IMG_2046.JPG
 
kilichonifurahisha mimi ni kimoja tu,kwa sasa nimegundua ccm haipendwi kabisa na wananchi kilichobaki ni kulazimisha ushawishi kwa gharama yeyote ile lkn propaganda zaidi.
 
kilichonifurahisha mimi ni kimoja tu,kwa sasa nimegundua ccm haipendwi kabisa na wananchi kilichobaki ni kulazimisha ushawishi kwa gharama yeyote ile lkn propaganda zaidi.
Kama chadema inavyowahadaa watu kwa helkopta?
 
We Mwanadiwani usijitoe ufahamu kwa vitu ambavyo havimake sense !

Hivi mtu anayetumia gari binafsi siku akiamua kutumia usafiri wa public au akitumia boda boda au bajaji.....Halafu siku akatokea akaitwa mahali, halafu akasema, mimi nitakuja kwa usafiri wangu....Hivi utamletea picha za siku ya aliyopakia bajaji/bodaboda, kumthibitishia kwamba hana usafiri wake binafsi ?

Mgombea wa CDM, siku za mwisho za campaign amekuwa akitumia Chopa ili kumrahisishia kufika maeneo mengi kwa muda mfupi, Sasa kuna ubaya gani akitumia usafiri huo siku ya uchaguzi ?



Bila hata aibu CHADEMA wanadai eti usafara wa mgombea ubunge wao ni helikopta.

Kawaida ya Ulaghai huwa hauna hata aibu katika jamii iliyopevuka.

Sasa kama usafiri wa mgombea wa CHADEMA kalenga ni helikopta, hapa alikuwa anafanya nini na alikuwa kwenye usafiri gani.
IMG_2046.JPG
 
Back
Top Bottom