PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
19,021
Reaction score
9,177
mw.jpg
mw1.jpg
mw2.jpg
mwi.jpg
mwi1.jpg
 
Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.
 
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni,huyu Naibu Katibu Mkuu wangu amebadilika sana.Hizi ndevu zisizo na maana lazima zitakuwa zinaathiri utendaji wake tu. Zimekaa kivivu,kikatili na kutojali.
Si ndevu tu. Nimejaribu kufikiri hayo mavazi yanaashiria nini sipati jibu. Nyota kwenye kofia yake imekaa ki-Mao, sasa yeye na Mao wapi na wapi! Huyu kasoma vizuri, lakini bila shaka anahitaji msaada fulani.
 
Kaanza kuiga uvaaji wa mwana mapinduzi nguli Che Guevara ahahahaha!

Picha hii akiiona Maggid Mjengwa atasikitika sana,anamdhalilisha legendari Che bana?
 
Unamaanisha nani anakula unga...?
 
Kaenda hapo kutengeneza sinema
Akiondoka lazima akatoe mkanda
mpya.
 
Haya bwana, nina hakika kua ngome itatemeka kidogo hivyo Sugu kaa tayari.
 
Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.

nadhani umetoka kwa liberali mwenzio ndo ukaja jukwaani
 
Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.

Tangu lini CCM ikawa na Makamanda kama siyo uchadema umekujaa akilini hadi unajistukia?
 
hahaha JF members kumbe Mwigulu ameoa oh sasa mkewe anawezaje kuishi na mtu anayeandaa na kuwaangamiza wenzake kweli binadamu tunatofautiana. Mungu mkubwa siku haya yote yataisha hata Hitla hakujua kama kungekuwa na mwisho.
 
Kawida yao kuanzisha vyama vipya kisha wanakana,Wengi wametoka kwenye chama chao.Lakini hakuna hata sehemu moja inayotaja alama au rangi tofauti na kijani na njano!Yeye kaitoa wapi au ndiyo CCJ mpya? Au ni cheo? Mh.Mangula tunaomba jibu.
 
kume Rameck nilidhani mwigulu mwenyewe waukweri! kumbe mwigulu wa sekondari
 
hivi hapa tutamtofautisha vipi na jwtz? mbona mavazi yanafanana? Kazi ipo Tanzania.

...sijue Obama anakuja lini? Zanzibar wanataka uhuru haraka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom