Picha; Mwigulu chemba ang'ara nkurumaha!!

shetani mweusi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
132
Reaction score
116
Katika mdahalo huo uliofanyika leo Nkurumaha mamia ya wasomi wamevutuwa na namna kijana huyo wa kinyiramba alivyouteka mjadala wa katiba hali iliosababisha mamia kuomba kupiga nae picha ... baada ya mjadala

Mwigulu nchemba is matuaring tuache unafiki simkubali huyu jamaa ila leo kanikosha moyo ... naona anabadilika saana

1407089720287.jpg
 
View attachment 175033

Wewe utakuwa unaumwa....! Mpaukaji tatizo anauwezo wa kutambua rangi moja tu ya kijani mjue kuna mambo hayana itikadi.
 
Katika mdahalo huo uliofanyika leo Nkurumaha mamia ya wasomi wamevutuwa na namna kijana huyo wa kinyiramba alivyouteka mjadala wa katiba hali iliosababisha mamia kuomba kupiga nae picha ... baada ya mjadala

Mwigulu nchemba is matuaring tuache unafiki simkubali huyu jamaa ila leo kanikosha moyo ... naona anabadilika saana

View attachment 175033
sijaelewa kwanini umeweka hii thread hapa love connect!! au huyo mwigilu alikuambia kuwa anatafuta mume?! wewe ni kuwadi??? wenzako wanatafuta papuchi hapa wewe unaleta habari zako za nchemba!! pumbaffffff.....!!
 
kweli wewe shetani mweusi, mambo ya mwigulu nchema na love connect yanahusiana vp?
 
Last edited by a moderator:
sijaelewa kwanini umeweka hii thread hapa love connect!! au huyo mwigilu alikuambia kuwa anatafuta mume?! wewe ni kuwadi??? wenzako wanatafuta papuchi hapa wewe unaleta habari zako za nchemba!! pumbaffffff.....!!

hahahhahahaha
 
Katika mdahalo huo uliofanyika leo Nkurumaha mamia ya wasomi wamevutuwa na namna kijana huyo wa kinyiramba alivyouteka mjadala wa katiba hali iliosababisha mamia kuomba kupiga nae picha ... baada ya mjadala

Mwigulu nchemba is matuaring tuache unafiki simkubali huyu jamaa ila leo kanikosha moyo ... naona anabadilika saana

View attachment 175033

Sasa kwa mdomoo tuu mbona utkubaliiiii
 
ni nini kutuletea habari za majasusi kwenye kajukwaa ketu kamapenzi?
 
Back
Top Bottom