Picha:Mwenge stand pamekuwa kama Srya

nILIDHANI PAMEPIGWA BOMU!!!!! haya maendeleo hAYO ndio maana nasema hizi biashara zetu hizi.....
 
Kabiashara kangu nilikuwa nimekaweka hapo sasa kazi kweli kweli ngoja tukaangalie fursa makumbusho!!
 
Kijijini sirudi nakomaa na Jiji mpaka kieleweke hata kama pamejaa hivyo hivyo kiubishi ubishi.
NAPITA hapo banda lako lipo kwa wapi mkuu nije nikushauri?
 
Last edited by a moderator:
Kwahyo hapo mwenge wanataka kufanya nini tena?
 
Kwahiyo makumbusho neema imewatembelea,wenye flame watapiga bao
 
Hii nchi tuliwaondoa wakoloni weupe wakati wa kudai uhuru tukawaweka wakoloni weusi. Jana tukaambiwa bodaboda marufuku mjini,leo stand ya Mwenge marufuku sasa nn kinafuata ?Serikali ilitakiwa iandae mazingira kwanza kabla ya yote.Najihisi kama niko South Africa ya uamuzi.
 
Pale barabara itapita kwani wanataka panua barabara kutoka mwenge hadi moroco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…