PICHA; Muendelezo wa Operesheni Okoa Kusini ya Magwanda!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765


Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wananchi Masasi mjini


Wananchi wa Masasi wakipigana vikumbo kununua kadi za CHADEMA
John Mnyika akiwa katika vijiji vya Kata za Makukwe na Mkwedu, wilayani Newala. Kwa George Mkuchika ambako alikutana na kiashiria cha wazi kuhusu udhaifu wa Waziri Mkuchika (Mbunge wa Newala) katika kusimamia majukumu yake, baada ya wananchi katika Kijiji cha Tengulengu, Kata ya Mkwedu kumlalamikia kuwa Diwani wa Kata hiyo, Juma Dadi hajawahi kufungua ofisi yake zaidi ya mwaka mmoja sasa. Pamoja na kuwasilisha malalamiko yao kwa barua Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Newala na kwa Mbunge wao, Mkuchika, hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.

Unaweza kuona pia wanawake wakiitikia PEOPLES POWER, nao wakaipiga ya nguvu kweli kweli kuonesha umoja na mshikamano katika Falsafa ya Nguvu ya Umma ya CHADEMA, katika kudai uwajibikaji, kupigania haki, uhuru na mabadiliko ya kweli ya mfumo na utawala nchini.
Na Kurugenzi Ya habari CHADEMA

Kama imekuuma 'Go & eat a Coke'

 
cdm lazima utaipenda tuuuuuuuuuuuuuu,hata kimoyomoyo...........................
 
Kama mwenyezi mungu ana mpango wa kunichukua namuomba asinichukue mpaka niuone ukombozi.....
 
Jamani hapa si Arusha kweli au mdau kaweka tu picha kutuzuga. Hayo ndiyo mawazo mgando ya magamba kuwa CDM ni ukaskazini mwisho wa siku siku imeingia vizuri kwa CDM. Peoplessssssss.
 
sema ccm wanajua sana kuiba czani kama tutatoka kwa wizi wao
 
Back
Top Bottom