Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Inasemekana aliyekuwa msanii wa kundi la ya moto band amejiunga freemason
FB_IMG_1570208874109.jpeg
FB_IMG_1570208868902.jpeg
 
Freemason mandazi na mishumaa ya 300 kwa mangi

Huyo bi maza kaning'iniza miwani ya bibi angu kule kisumu

Hivyo vitambaa vyenye logo ya Freemason ni vya enzi zile

tulikua tukitandika sebleni kwenye makochi

Hamna Freemason hapo

Freemason is all about SECRET
 
Mkuu upo wrong,mambo yao ndo siri ila kujiunga au kujitangaza ni uamuzi wako
Freemson mandazi na mishumaa ya 300 kwa mangi

Back
Top Bottom