Picha mpya :askari wetu na wa huko majuu

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Majadiliano yanaendelea....
 
Attachments

  • 1431115549556.jpg
    1431115549556.jpg
    44.3 KB · Views: 1,395
  • 1431115578529.jpg
    1431115578529.jpg
    36.9 KB · Views: 1,337
Huu ni mtindio wa wabongo kulinganisha kumbi na panzi. Hizi picha zinafananaje hapa. Wale ni polisi, mafunzo na kazi zao ni tofauti. Hawa ni wanajeshi wa kichina wanajaribu kutoa somo kwa watoto wa kichina juu ya msaada wa majeshi wakati wa uokoaji.
 
Tushukuru mungu na hayo majanga na tusilaumiyane tuwe na utulivu na hikma tu
 
tunapojishusha thamani
kweli inferiority begins from a person himself.
 
Hata mishahara tofauti pia,au hujui hilo!!
 
Huu ni mtindio wa wabongo kulinganisha kumbi na panzi. Hizi picha zinafananaje hapa. Wale ni polisi, mafunzo na kazi zao ni tofauti. Hawa ni wanajeshi wa kichina wanajaribu kutoa somo kwa watoto wa kichina juu ya msaada wa majeshi wakati wa uokoaji.

No excuse.

Embu tuwekee za wanajeshi wetu unaoona wewe wanaendana na hao wakichina.

kama polisi hawajifunzi vitu vidogo kama hivi,kuna haja gani ya kuwapa dhamana waliyonayo!!!!!!
 
Hata kabla ya kukuwekea picha, ngoja nikupeleke maeneo ya uokoaji yaliyofanywa na jeshi hapa nchini wakati wa majanga. Je, hukuona mafuriko ya mwaka jana jeshi lilihamisha watu kwenda Mabwepande? Wakati reli ya kati ilipotifuka Morogoro hukuwaona? Eenhe, na huko wami, hawakuweka daraja la muda? Kilombero je? Hata juzi wakati wa mvua ya mawe huko Kahama, wameamriwa kujenga nyumba za wananchi. Au Le professeri aliagiza wanajeshi wa kichina? Haya madaraja ya Mto mzinga na Kongowe ya Mbagala yaliwekwa na wachina..., haya unataka picha. Jeshi letu halipendi sifa za magazeti.
 
Hawatakiwi kuuza sura sababu ni kazi yao wakati kama huu wa amani.

Umemlaumu mleta mada kwa kulinganisha polisi na wanajeshi wa china,wanaofanya uokoaji wa kawaida kabisa hapo kuwa mafunzo ya polisi hayamjengi katika uwezo huo labda.thats why nikakwambia leta picha ya hao unaoona wanaendana,unasema hawapendi kuuza nyago.hawa wa tz!!!!!ajabu.

Huyu ni mwanajeshi anayeaminika na wateja wake kuwa yuko fiti.ndio maana wameduwaa kuona amepanda mgongo wa raia.

Angekuwa mwalimu hapo isingekuwa habari hii.
 
Inawezekana sijakuelewa vizuri lakini naweza kusema kuwa tunashida ya kusema tusiyoyajua. Kwa nchi yangu tz, mafunzo ya polisi ni tofauti sana na ya kijeshi. Polisi wetu hufundishwa partial basic infantry skills na armed squad operations. Vifaa vyao pia ni light equipments na havihimili majanga makubwa. Nchi zingine huwaunga polisi na wanajeshi katika mafunzo ya mwanzo na baadaye u polisi husomewa kama fani. Baadhi ya nchi kama USA huajiri wanajeshi wastaafu katika polisi na baadaye huwapa mafunzo ya fani ya polisi. Polisi Jeshi wa Marekani pia hufanya shughuli za polisi wakati wa majanga. Utofauti wa mafunzo na umiliki wa vifaa tofauti vya kukabiliana na majanga ndio husababisha utofauti wa utendaji katika uokoaji.

Majeshi yetu ya ulinzi yana knowledge sawa na majeshi ya kichina, kimarekani, kiganda n.k. na ni jukumu la majeshi kuokoa watu wowote katika dunia hii kwa mujibu wa sheria za nchi husika au umoja wa kikanda, au umoja wa mataifa. Cha msingi ni kwamba tusiandike kujifurahisha na kushabikia mambo tusiyoyajua. MUNGU IBARIKI TANZANIA YANGU.
 
mazoezi mazito ya kicheshi huwa wanapractise wapi kipindi cha amani?
 
Back
Top Bottom