Always watu walioishiwa hoja huja na hoja nyepesi kama kujadili watu ambazo mwisho wa siku hazisaidii na wala hazimsaidii alieziweka,ukijiuliza nini lengo la mleta uzi huu utaona ni majungu tu
Hata baba yako alivyo sasa ni tofauti alivyokuwa miaka 10 au 7 iliyopita hata wewe hebu weka picha zako miaka 5 iliyopita na saa hivi au weka ya baba yako kipindi hicho na sasa hivi
Na wengine kwa kukosa aibu wananchangia ujinga tu sababu mtu kaweka ujinga ili ikusaidie nini? Ina impact gani kwako wewe muweka uzi na wewe uliyechangia?
Kuna vipindi vya mabadiliko kwa binadamu yeyote we unategemea utakuwa hivyo ulivyo hadi uzeeke?
Mnaiga tu mkumbo sababu mtu kaweka kitu lazima uchangie hata kama ni uozo THINK BIG wewe ulieona ni sifa kuandika utumbo humu hebu weka ya baba yako kipindi hicho na sasa hivi poor muhindi wa kuchonga somji